Ngoma mpya ya Mex Cortez ni moto wa kuotea mbali.....!!!!

Kama bado unasikiliza miziki ya kidunia Kwa kujifany1 mtakatifu huna unalofanya
Mimi siyo Mtakatifu, Mimi ninafanya vitu sahihi.

SIsikilizi kila kitu, Nasikikiza vitu sahihi.

I'm not a Nice guy.
 
So huwa unasikiliza mimbo ya aina gani ambayo tuseme haibebi nguvu hasi?
Nna ngoma nyingi sana kwenye playlist yangu na zote nasikiliza - Hata sielewi nikutajie ipi labda taja idadi unayoitaka.
 
Nna ngoma nyingi sana kwenye playlist yangu na zote nasikiliza - Hata sielewi nikutajie ipi labda taja idadi unayoitaka.
Asante kaka sikumaanisha idadi bali aina ya muziki. Yaani ile ambayo somehow haitaongeza negative energy kwa msikilizaji.
 
Katika vitu napenda ni hv sasa yani unabisha una fact mpk nimefurah huu mjadala🤝.

Bado kidogo au hvyo ulivyotaja ni baadhi, naongea tamaduni ya music haswa fallen angel ya dizasta ni funzo juu ya mapenz yanavyotesa, haikupangwa same. Kutaja baadhi haibebi maana kuu ya hip hop, dj cool hakuanzisha hip hop kwa ajir ya mapenz na walokuja hawakuunda mapenz ndani ya hip hop ila inatokea kwa baadhi. Mbna zari la mentali ni hip hop ila ni mapenz hujiulizi ?

3 reggae na rastafarian ni mdomo na meno, haviachani, dhima kuu ya reggae ni aman na upendo. Ndo mana ilikuwa kwa ajir ya uhuru. Ngoma kama dude la kimataifa ya chege ni reggae lakin sio ya aman au upendo ila haiondoi dhima kuu ya mziki wa reggae. Hiyo miziki ulonipa nisikilize pia ni ya mapenz lakin haiondoi dhima ya reggae.

Point yangu inasimama pale pale kila mziki una kitu unachoongea hasa, inapotokea umekuja kwa namna nyingine sio imebadili dhima kuu
 
Sawa mkuu ✊🏿👍🏾👊🏾
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…