Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Kunakuwaga na kipindi cha majaribio...Uzushi huu. Sema nilivyoona hii channel bado ina mapungufu wayarekebishe haraka, subtitles hazionekani, logo inaendana na ya Maisha Magic, quality ya picha hairidhishi. Wajitahidi wawaige E.TV wale tangu mwanzo walianza vizuri sana hasa kwa upande wa ubora wa picha
Mkuu usihukumu kwanza kabla hujadhibitisha na kuwa na source ya uhakikaAna roho ya kisasi iliyojaa uchungu. Ali Kiba anaweza kupata maradhi ya moyo, akili Na vidonda vya tumbo kwakuwa hataki kuachilia vitu vinavyomuumiza moyo
washaanza uswahili sasa,we TV proffessional haziwezi kufanya mambo ya kiswahiliswahili hivyo,nia na madhumuni ni nini sasa!Jana ngoma za Ali Kiba zilipigwa masaa sita mfululizo kuanzia saa 6 usiku mpaka saa 12 alfajiri.
View attachment 734840
Ali Kiba alipoulizwa nini maoni yake alisema " nnilijua lazima tu wapige ngoma,kibongo Bongo huwezi kuwa na TV ya mziki halafu husipige ngoma zangu,nilifahamu tokea mwanzo lazima wapige ngoma zangu ila sikutaka kusema tu sababu sipendi mauzo".
Mdau nini maoni yako?
HAHAHAHA hawapatani kwenye nini? msome hapa majizoETV hawapatani hawa!
Tupe source,tu prove Kiba alijibu hayo majibu,haya mambo sijui mnapata faida nayo gani au ndo tusikujaji kutokana na hiyo ID yako,jina MSAGA SUMU ndo unakaanga kweli sumu sio,uchawi sio mpaka upae na ungo mzee!!!Jana ngoma za Ali Kiba zilipigwa masaa sita mfululizo kuanzia saa 6 usiku mpaka saa 12 alfajiri.
View attachment 734840
Ali Kiba alipoulizwa nini maoni yake alisema " nnilijua lazima tu wapige ngoma,kibongo Bongo huwezi kuwa na TV ya mziki halafu husipige ngoma zangu,nilifahamu tokea mwanzo lazima wapige ngoma zangu ila sikutaka kusema tu sababu sipendi mauzo".
Mdau nini maoni yako?
Ata Tanzania tunampango wa kumjengea kila mtu ghorofa sema hatupendi mauzoHata ivo alikiba anampango wa kuanzisha tv na redio sema tu hapend mauzo kama domooo
Hata Rock Star 4000 iko moto sana sema tu Ally Kiba hapendi mauzoHata ivo alikiba anampango wa kuanzisha tv na redio sema tu hapend mauzo kama domooo
Watakuja mlisha hata mavi sasa!Watakuwa wamemlisha maneno
Kweli kabisa kajibu kimbwege sanaKajibu kishamba mno