Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ufipa bana hahaha.Mikoa yote wamekwisha ikataa Ccm,Mikoa yenye nafuu kwa ccm basis hawatapata zaidi ya 35% ya kura zote.Yaani kwa ujumla kama kutakuwa na haki ushindi wa Lisu kwa jumla ni 70-60%
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna kitu kama iyoHilo halina mjadala, na Magufuli atashurutisha kutangazwa na tume ya ccm. Ila safari hii hakuna kumuachia Mungu.
Tanga kuna jimbo LA upinzani mwaka huu!?Tanga CCM wasitegemee sana. Kuna wa Pemba wengi wafanya biashara hawa ni ACT. Chadema pia ni wengi siku hizi. Ingawa wenyeji wa Tangawwengi bado CCM.
Hamjawahi acha kulalamika hahahahHamchelewi kuanza kutukana, siasa za ushindani hamziwezi, mlochofanikiwa awamu hii ni kutisha watu.
Ya chadema imekuwa Mara naonaMimi naona ngome ya CCM ni Dodoma tu!
IPO kwa membe yaniKagera siioni kwa Lissu au JPM. Au iko kwa Lipumba?
Dar ipi??2015 alipata 54k tu..wajanja wa town hawawezi kumpa kura mshambaLissu kushinda Dar hawezi Jpm alishaiteka kisiasa toka 2015 ! Msijidanganyane!
Mara upinzani ulikuwa zamani si siku hizi, nina uhakika ccm itashinda robo tatu ya majimbo majimbo yote. Upinzani unaweza kuambulia tarime vijijni tu kwa heche maana tarime mjini bado hapaeleweki vizuri.Kwa Lissu ongeza Songwe, Kagera na Mara
Kuna mtu alisema siku hizi intaneti ni rahisi kwa hiyo kuna watu wengi wanaoutumia muda kwenye intaneti kama wapambe.Lissu mnampamba sana humu kuliko uhalisia hawezi kufikia hata robo ya Kura za Lowassa 2015 huo ndo ukweli mchungu!