Uchaguzi 2020 Ngome za CCM vs Ngome za CHADEMA

Uchaguzi 2020 Ngome za CCM vs Ngome za CHADEMA

Wewe mwamba huna kumbukumbu nzuri yaani unazisahau Kagera na Mara? Hizo ni za Lissu
 
Kwa tathimini ya haraka CCM imepwaya sana kwenye kampeni.

Bila ushabiki...BILA USHABIKI.

.toa watumishi wanaolazimishwa kwenda kwa mikutano
.toa wanafunzi wote
.toa wote wanaosafirishwa (ukubali ukatae huu ndo ukweli)
.toa ambao wanafuata wasanii.
Je ni wangapi wanaenda kwa moyo kabisaaaa viwanjani??
Pima covarage inayopewa CCM na ile ya CHADEMA kuna usawa.... Hebu fikiria LISU Angepewa covarage hiyohiyo hali ingekuaje??
 
Ngome za ccm ni Dodoma na pwani na tabora kidogo mikoani kaharibu sana biashara ya mazao. Dar hawana kitu dar inawasomi wengi watumishi wengi vijana wengi hawana ajira.

Wananchi wengi walipenda sana sera ya kuwabana mafisadi lakini sasa wananchi hawaoni juhudi hizo kama zina tija kubadilisha maisha yao
 
Unajua mwaka 2015 mgombea wa CCM alipata Kura mil. 8 na Chadema mil. 6

Kura hizi tofauti yake ni km mil. 2 wastani.

Kipindi hiki JPM alikuwa anaonekana km mwaminifu na kete ya mwisho kwa CCM.

Mwaka huu kuna kundi kubwa linampinga,pia watanzania waliomsapoti 2015 wengi wao wameshaasi,kwa hesabu hii roughly chochote kina weza tokea.Hesabu ya 2mil kufidiwa ni too easily
 
Uchaguzi huu CCM wataanguka mikoa mingi sana, watapata kura nyingi mkoa mmoja tu wa Dodoma kwasababu kule ugogoni watu bado wapo nyuma kifikra.
 
Hii uliandika lini?

Kuanzia iringa mpaka mbeya watu ni wengi kuzidi wa tundu lisu, sasa sijui hapo unasemaje?

Kumbuka 2015 magufuli alizomewa mbeya na hata hakufanya mkutano wa maana, lakini leo ni shujaa wao bado hapo hujastuka tu
 
One term president unafikiri anarudi Tena ? Bora yeye na vibaraka wake wangetumia muda huu kuaga ingekuwa vizuri sana, huko mbeleni hawatapata muda kabisa.

.
IMG_20200929_210947.jpg
 
Dar Lisu alipiga mikutano miwili ya hovyo sana.

Mziki wa lowasa ndo ulimpa shida JPM Ila Lissu apana kwakweli
 
Mikoa yote wamekwisha ikataa Ccm,Mikoa yenye nafuu kwa ccm basis hawatapata zaidi ya 35% ya kura zote.Yaani kwa ujumla kama kutakuwa na haki ushindi wa Lisu kwa jumla ni 70-60%

Sent using Jamii Forums mobile app
Ufipa bana hahaha.
Mikoa gani iyo
Arusha ngome yenu hadi saivi karatu na mjini ndo mnaweza shinda, moshi uku jua liwawakia, majimbo yote hali ngumu, nyie mshinde tarime Uko na bunda tu
 
Kwa Lissu ongeza Songwe, Kagera na Mara
Mara upinzani ulikuwa zamani si siku hizi, nina uhakika ccm itashinda robo tatu ya majimbo majimbo yote. Upinzani unaweza kuambulia tarime vijijni tu kwa heche maana tarime mjini bado hapaeleweki vizuri.
 
Lissu mnampamba sana humu kuliko uhalisia hawezi kufikia hata robo ya Kura za Lowassa 2015 huo ndo ukweli mchungu!
Kuna mtu alisema siku hizi intaneti ni rahisi kwa hiyo kuna watu wengi wanaoutumia muda kwenye intaneti kama wapambe.
 
[QUtOTE="Isayalussy11, post: 36843604, member: 542023"]
Lissu mnampamba sana humu kuliko uhalisia hawezi kufikia hata robo ya Kura za Lowassa 2015 huo ndo ukweli mchungu!
[/QUOTE] Kwani Lowasa alipata kura ngapi? Au unatuletea habari za kutotangazwa?
 
Back
Top Bottom