Uchaguzi 2020 Ngome za CCM vs Ngome za CHADEMA

Washabiki wa CHADEMA wanajidanganya sana kwamba mgombea wao atashinda katika huu uchaguzi. Hoja yao kubwa ni wingi wa watu kwenye mikutano ya Tundu Lisu japo mikutano ya mgombea wa ccm watu ni wengi zaidi. Hao watu wanaokuja kusikiliza hotuba za wagombea siyo wote wanasifa za kupiga kura, wengine bado hawajafikisha umri wa kupiga kura, wengine hawajajiandikisha kupiga kura au kubadili taarifa zao kwenye daftari la wapiga kura kutokana na kuhama sehemu walizojiandiksha mwanzo, wengine ni wanachama wa vyama vingine ila wanakuja tu kusikiliza na hata kuwaona wagombea urais (live) kuliko kusimuliwa.

Na kikubwa zaidi ni kwamba hao watu wanaohudhuria hiyo mikutano ya Tundu Lisu ni sehemu ndogo sana ya population katika jimbo au mkoa husika. Japo watu wanacheka kwamba kwenye mikutano ya magufuli watu wanaletwa kwa malori toka sehemu nyingine za jimbo au mkoa lakini hili linaweza kuwa na positive effect kwa ccm. Tukumbuke kwamba wagombea urais hawawezi kwenda/kufika kwenye kila jimbo kwa ajili ya kunadi sera zao hivyo kwa ccm njia mojawapo ni kuwaleta makada wao kwenye mikutano ya mgombea urais wa chama hicho kwa lengo la kusikia sera na baadae kwenda kuhamasisha wananchi kwenye maeneo wanaokotoka kumpigia kura mgombe awa chama chao. Pia CCM wana matawi hadi mashinani hivyo influence yao huko hasa maeneo ya vijijini ni kubwa wakati chadema hawajawekeza sana maeneo ya vijijini achilia mbali maeneo mengi mijini hawana matawi. Chadema inaendesha siasa za uanaharakati hawana base. Pia Magufuli anarekodi nzuri ya utendaji kazi wake kitaifa na kimataifa tangu aingie madarakani 2015 hadi 2020. Huo pia ni mtaji tosha kwa mgombea wa CCM.

Hivyo washabiki wa CHADEMA wasichukulie hizi kampeni za urais kirahisi hivyo kwa hoja hiyo dhaifu ya mahudhurio ya wananchi kwenye mikutano ya kampeni maana baada ya tarehe 28/10/2020 wanaweza kubaki midomo wazi kwa mshangao maana mgombea wa CHADEMA anaweza akaambulia asilimia ndogo sana ya kura zote. Na kama kawaida ya wapinzani watakimbilia kusema ccm wameiba.
 
Hivi ccm mnawezaje ku justify uvunjaji wa vipindi vya watoto madarasani kisa kampeni, wanafunzi chini ya miaka 18 pamoja na walimu wao wanashurutishwa kwenda mikutanoni.
 
Wakati unaandika huu Uzi ulikuwa unajitawaza?

Toka lin Zanzibar ukaifananisha na mikoa yenu ya bara?

Ifike pahara Zanzibar iheshimiwe
 
Lissu Dar ?? hujui unachokiandika ndugu!
Dar Lissu amepashika kaka, Fanya uchunguzi wa chini kwa chini, usioneshe wewe mkeleketwa wa chama gani, onesha kwamba wewe pia hauna chama unafuata sera za wagombea ndio utajua
 
Kagera umiecha wapi?
Kagera pia, Rais Magufuli ndio alisababisha na kumpa kick Lissu vinginevyo ilikuwa ngome ya CCM ila sasa ni ngome ya Lissu baada Tetemeko
 
Sasa sehemu kama Iringa Lisu anajimbo moja tu la iringa mjini kisha unasema hiyo ni ngome ya Lisu?
Urais na Ubunge ni tofauti ndugu, watu wanampa Ubunge CCM urais CDM
 
Kwa hali ilipofikia sasa ni kwamba Mheshimiwa Rais Dkt JPM alisahau kuwekeza kwa wananchi akawekeza zaidi kwenye uwekezaji wa vitu na miradi mbalimbali ndio maaana mambo yamekuwa magumu, kwa hesabu za haraka haraka hizi ndio ngome za Lissu na Ngome Za Magufuli

Lissu;
1. Dar - kura zitagawanyika
2. Arusha - TOA MONDULI, LONGIDO NA NGORONGORO
3. Mbeya - TOA RUNGWE
4. Manyara - ya mjini sawa, pembezoni ni CCM
5. Iringa - ya mjini sawa, huko isimani, na mufundi+njombe hapana
6. Songwe - tunduma tu
7. Kigoma - mjini tu
8. Zanzibar - unguja yote ni CCM, Pemba sawa
9. Kilimanjaro - sawa, ila magu atamkaba vikali
10. Mtwara - inaweza geuka
11. Singida - inaweza geuka

Magufuli
1. Mwanza
2. Dodoma
3. Tabora
4. Shinyanga - mjin iko cdm
5. Mpanda
6. Katavi
7. Ruvuma
8. Lindi
9. Tanga
10. Simiyu

ONGEZA
MOROGORO
PWANI
RUKWA

Hapa naona ngoma nzito kwa CCM ila ushindi utakuwa mwembamba sana inaweza isifike hata asilimia 50, yaani ni kama 49 kwa 48 sehemu zilizobaki uwezekano wa kugawana sawa ni mkubwa kwa makadirio ya wastani wa asilimia 96%
 
Kwa hali ilipofikia sasa ni kwamba Mheshimiwa Rais Dkt JPM alisahau kuwekeza kwa wananchi akawekeza zaidi kwenye uwekezaji wa vitu na miradi mbalimbali ndio maaana mambo yamekuwa magumu, kwa hesabu za haraka haraka hizi ndio ngome za Lissu na Ngome Za Magufuli

Lissu;
1. Dar
2. Arusha
3. Mbeya
4. Manyara
5. Iringa
6. Songwe
7. Kigoma
8. Zanzibar
9. Kilimanjaro
10. Mtwara
11. Singida

Magufuli
1. Mwanza
2. Dodoma
3. Tabora
4. Shinyanga

Hautatokea mkoa wowote ambao Lissu atafikisha kura 100,000.
 
Kwa akili ya kawaida, kamanda unadhani Lissu anatoboa? Tuwe wakweli na tutumie akili.

Kwenye ushindani kuna kushinda na kushindwa, hilo linaeleweka. Tunachotaka hata akishindwa ashindwe kihalali hakuna mwenye tatizo na hilo. Ni kichekesho eti Lisu asishindane maana kuna nadharia kuwa atashindwa, naona na ww unakuja na hiyo nadharia ya kipuuzi kisha unajifanya cdm.
 
Kwa hali ilipofikia sasa ni kwamba Mheshimiwa Rais Dkt JPM alisahau kuwekeza kwa wananchi akawekeza zaidi kwenye uwekezaji wa vitu na miradi mbalimbali ndio maaana mambo yamekuwa magumu, kwa hesabu za haraka haraka hizi ndio ngome za Lissu na Ngome Za Magufuli

Lissu;
1. Dar
2. Arusha
3. Mbeya
4. Manyara
5. Iringa
6. Songwe
7. Kigoma
8. Zanzibar
9. Kilimanjaro
10. Mtwara
11. Singida

Magufuli
1. Mwanza
2. Dodoma
3. Tabora
4. Shinyanga
5. Mpanda
6. Katavi
7. Ruvuma
8. Lindi
9. Tanga
10. Simiyu

Hapa naona ngoma nzito kwa CCM ila ushindi utakuwa mwembamba sana inaweza isifike hata asilimia 50, yaani ni kama 49 kwa 48 sehemu zilizobaki uwezekano wa kugawana sawa ni mkubwa kwa makadirio ya wastani wa asilimia 96%
Upo sahihi semehu masikini zote zipo upande wa CCM, kwenye ngome za Magufuli ongezea na hizi:- Dola, NEC na msajili wa vyama vya siasa.
 
Kwenye ushindani kuna kushinda na kushindwa, hilo linaeleweka. Tunachotaka hata akishindwa ashindwe kihalali hakuna mwenye tatizo na hilo. Ni kichekesho eti Lisu asishindane maana kuna nadharia kuwa atashindwa, naona na ww unakuja na hiyo nadharia ya kipuuzi kisha unajifanya cdm.
Huu uoga mkuu ndiyo umetufikisha hapa tulipo Lissu ametufungua mambo mengi sn kama watanzania inabidi tumshukuru MUNGU wetu kwa hilo
 
Back
Top Bottom