Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Sijateseka natoa ushauri tu.Unateseka nini hao akina mama wakimtia moyo Mbowe? Wacha wampe nguvu, si unaona Mbowe alivyo na amani na furaha na amenenepa tu vizuri, huenda ni kutokana na kuona watu wako Pamoja naye wanamtakia heri!
Kama Nyimbo za kumtia moyo Hazina athari yoyote kwenye maamuzi ya Jaji juu ya kesi ya Mbowe, sioni tatizo Kwa wao kumtia moyo!
Kuhusu suala kushughulikia suala la Mbowe kisheria, hivi kwani huoni uwakilishi wa wanasheria wake mahakamani?
Si ndio hao wanashughulika na kesi yake kisheria?
Naona huna hoja!
Kweli wanawake wanakuja kukata mauno huko mahakamani kwenye kesi ya Mbowe?Kukata mauno na kuimba mahakamani nyimbo na ngonjera sio tija ya kisiasa kuweza kusababisha Mbowe akapata ushindi.
Majaji na mahakimu wa kitanzania wanawigo mpana sana kuweza kupindua matokeo ya kesi kwa utashi wao. Tujikite kutatua tatizo la Mbowe kisheria sio kwa nyimbo na ngojera.
View attachment 2108362
Pumbaf kabisa wewe sukuma gang.Kukata mauno na kuimba mahakamani nyimbo na ngonjera sio tija ya kisiasa kuweza kusababisha Mbowe akapata ushindi.
Majaji na mahakimu wa kitanzania wanawigo mpana sana kuweza kupindua matokeo ya kesi kwa utashi wao. Tujikite kutatua tatizo la Mbowe kisheria sio kwa nyimbo na ngojera.
View attachment 2108362
Kawashauri ndugu zenu koromitjeSijateseka natoa ushauri tu.
Ni kigagura huyo anatafuta pa kutokea[emoji3][emoji3][emoji3] kwa muda huu ulioandika hii nyuzi ni bora ungelala tu ni zaidi ya uchawi yani.
Hilo ni danga tu la kisiasa baada ya kufukuzwa cdm likakimbilia ccm na huko limekosa wa kuliunga mkono hata kwa uteuziUnateseka nini hao akina mama wakimtia moyo Mbowe? Wacha wampe nguvu, si unaona Mbowe alivyo na amani na furaha na amenenepa tu vizuri, huenda ni kutokana na kuona watu wako Pamoja naye wanamtakia heri!
Kama Nyimbo za kumtia moyo Hazina athari yoyote kwenye maamuzi ya Jaji juu ya kesi ya Mbowe, sioni tatizo Kwa wao kumtia moyo!
Kuhusu suala kushughulikia suala la Mbowe kisheria, hivi kwani huoni uwakilishi wa wanasheria wake mahakamani?
Si ndio hao wanashughulika na kesi yake kisheria?
Naona huna hoja!
Makonda sasa hivi anajificha ficha sawa na Musiba.Ushauri wako utamfaa sana ndugu yako Makonda. Umwambie kuwa kujificha hakutamaliza kesi.
Yote yana mwisho mbaya sana kwa watawalaHakuna kesi hapo.
wamejaza mashahidi wa mchongo ili siku zisonge Mbowe akisota rumande.
Matumizi mabaya ya fedha za Umma maaskari wakiendelea kulipwa nights na perday kwa kesi ya namna hii!
Unateseka nini hao akina mama wakimtia moyo Mbowe? Wacha wampe nguvu, si unaona Mbowe alivyo na amani na furaha na amenenepa tu vizuri, huenda ni kutokana na kuona watu wako Pamoja naye wanamtakia heri!
Kama Nyimbo za kumtia moyo Hazina athari yoyote kwenye maamuzi ya Jaji juu ya kesi ya Mbowe, sioni tatizo Kwa wao kumtia moyo!
Kuhusu suala kushughulikia suala la Mbowe kisheria, hivi kwani huoni uwakilishi wa wanasheria wake mahakamani?
Si ndio hao wanashughulika na kesi yake kisheria?
Naona huna hoja!
Kawashauri ndugu zenu koromitje
Mkuu hao vibwetele hawawezi kukuelewaSijateseka natoa ushauri tu.
Kheri ya fala anayejitegemea kuliko wewe kibwetele unayetumia akili ya Gaidi MboweTanzania ina vijana mafala wengi Sana akiwemo huyu lofa aliyepost mada hii.
Mbowe ni mwenyekiti WA chama cha siasa hata iweje wanachama lazima wajae mahakamani kwajili ya kumtia moyo,tatizo lako kichwani kimejaa ujinga unawaza upumbavu Tu WA kumfunga mbowe Jambo ambalo halitakuja kufanyika kama unasubiri kifungo utatachelewa kufanya yako