voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,935
Acha kufananisha kifo na USINGIZI.Pumbaf kabisa wewe sukuma gang.
Mbwembwe hizo na kukata mauno mnafanya nyinyi kwenu koromitje.
Kwa taarifa yako mh Mbowe atatoka tu na kuwa huru kama walivyofanya kina mwl JK Nyerere na Nelson Mandela
Mbowe hana kariba yoyote ya kujaribu kumfananisha na hao Magwiji wawili.
Labda kwenu wachaga.
Mbowe angekuwa mwanasiasa nguli asingeshindwa kudhibiti makundi ndani ya chadema
Muwe mnatafakari kabla ya kuja kuandika utumbo wenu humu.