Ngonjera na mbwembwe nje ya mahakama haitamsaidia Mbowe kushinda kesi, tujitafakari makamanda. Tukumbuke majaji wana mamlaka makubwa

Ngonjera na mbwembwe nje ya mahakama haitamsaidia Mbowe kushinda kesi, tujitafakari makamanda. Tukumbuke majaji wana mamlaka makubwa

Mkuu unateseka sana. Huna amani moyoni, pengine Mbowe ana amani kukuzidi wewe.
Kwa ufupi hoja yako haina mashiko.
 
Kukata mauno na kuimba mahakamani nyimbo na ngonjera sio tija ya kisiasa kuweza kusababisha Mbowe akapata ushindi.

Majaji na mahakimu wa Kitanzania wanawigo mpana sana kuweza kupindua matokeo ya kesi kwa utashi wao. Tujikite kutatua tatizo la Mbowe kisheria sio kwa nyimbo na ngojera.

View attachment 2108362
Kwa hiyo ulitaka WAANGUE KILIO?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kesi hapo.
wamejaza mashahidi wa mchongo ili siku zisonge Mbowe akisota rumande.
Matumizi mabaya ya fedha za Umma maaskari wakiendelea kulipwa nights na perday kwa kesi ya namna hii!
Halafu mimi sioni umuhimu wa kuendelea kuleta hawa Polisi maana wote wanasema kitu kilekile tu. Ushahidi kwangu uliishia kwa Urio. Hawa wengine ni hear says tu
 
Halafu mimi sioni umuhimu wa kuendelea kuleta hawa Polisi maana wote wanasema kitu kilekile tu. Ushahidi kwangu uliishia kwa Urio. Hawa wengine ni hear says tu
SINA NAMNA YOYOTE YA KUKUSAIDIA
 
Kukata mauno na kuimba mahakamani nyimbo na ngonjera sio tija ya kisiasa kuweza kusababisha Mbowe akapata ushindi.

Majaji na mahakimu wa Kitanzania wanawigo mpana sana kuweza kupindua matokeo ya kesi kwa utashi wao. Tujikite kutatua tatizo la Mbowe kisheria sio kwa nyimbo na ngojera.

View attachment 2108362
Mmeng'ang'ana na hashtag "mbowe sio gaidi" badala ya kujikita kuprove mahakamani kisheria. Kesi ni rahisi mkiondoa mentality kwamba anaonewa.
 
Mamluki upo kazini umeshamaliza kazi nenda Lumumba ukachukue 7000
Chaggadema 🤣🤣🤣

IMG_20220205_152144.jpg
 
Ukiwa mwehu,haujielewi.mbowe sio gaidi.mwambie Mme wako,watoto wako,mke wako,wazazi wako na familia yenu woote wajue hivyo
 
Back
Top Bottom