Acha kufananisha kifo na USINGIZI.Pumbaf kabisa wewe sukuma gang.
Mbwembwe hizo na kukata mauno mnafanya nyinyi kwenu koromitje.
Kwa taarifa yako mh Mbowe atatoka tu na kuwa huru kama walivyofanya kina mwl JK Nyerere na Nelson Mandela
With all my respect kwako mkuu yaani usiku huu kichwa chako kinafikiria na kinakuja na uamuzi huu uliouandika hapa?middle class wa kitanzania mna shida mno,wewe huoni tatizo ni mahakama zetu(ubovu wa katiba yetu) ndio tatizo hapa?mkuu panua wigo wako wa kupata fact na hopes umesikiliza au kuangalia jinsi wenzetu hapo S.A. wanavyomtafuta CJ wao yaani ni democracy in the making,kama unahitaji link ya interview niambie nikupe hapa ili uweze elimika kidogo.Sijateseka natoa ushauri tu.
Binadamu tunatofautiana aisee,huyo unayemwitaa gwiji mi ndo naona ndo alifanyanchiimekuwayahovyo kwenye uongozi.Acha kufananisha kifo na USINGIZI.
Mbowe hana kariba yoyote ya kujaribu kumfananisha na hao Magwiji wawili.
Labda kwenu wachaga.
Mbowe angekuwa mwanasiasa nguli asingeshindwa kudhibiti makundi ndani ya chadema
Muwe mnatafakari kabla ya kuja kuandika utumbo wenu humu.
Umeonaeeeee?Sure na vile vibibi na vibabu vyao vichawi na vishirikina vilivyojipanga wkt ule kumpambania JPM kichawi
Tangu lini wewe mwana CCM ukawa mshauri katika Mambo ya Chadema, na je unafikili ccm bambikia watu kesi itasaidia CCM baki madarakani? 2025 CCM OUTKukata mauno na kuimba mahakamani nyimbo na ngonjera sio tija ya kisiasa kuweza kusababisha Mbowe akapata ushindi.
Majaji na mahakimu wa Kitanzania wanawigo mpana sana kuweza kupindua matokeo ya kesi kwa utashi wao. Tujikite kutatua tatizo la Mbowe kisheria sio kwa nyimbo na ngojera.
View attachment 2108362
Mbowe ndiye Nelson Mandela au mwl JK Nyerere wa sasa katika maisha ya kisiasa.Acha kufananisha kifo na USINGIZI.
Mbowe hana kariba yoyote ya kujaribu kumfananisha na hao Magwiji wawili.
Labda kwenu wachaga.
Mbowe angekuwa mwanasiasa nguli asingeshindwa kudhibiti makundi ndani ya chadema
Muwe mnatafakari kabla ya kuja kuandika utumbo wenu humu.
Mbona umekuwa kamanda uliyechoka.nimefatilia post zako hueleweku umesimamia wapi kamana uliyechoka.Kukata mauno na kuimba mahakamani nyimbo na ngonjera sio tija ya kisiasa kuweza kusababisha Mbowe akapata ushindi.
Majaji na mahakimu wa Kitanzania wanawigo mpana sana kuweza kupindua matokeo ya kesi kwa utashi wao. Tujikite kutatua tatizo la Mbowe kisheria sio kwa nyimbo na ngojera.
View attachment 2108362
Kawashauri ndugu zenu koromitje
Kweli kabisa,Makonda aliwahi kunukuliwa akidai yeye ni mingoni mwa Watanzania wanaoishi maisha ya raha kuliko wote.Leo anajificha kujitokeza hadharani?Ushauri wako utamfaa sana ndugu yako Makonda. Umwambie kuwa kujificha hakutamaliza kesi.
Kukata mauno na kuimba mahakamani nyimbo na ngonjera sio tija ya kisiasa kuwezakusababisha Mbowe akapata ushindi.
Majaji na mahakimu wa Kitanzania wanawigo mpana sana kuweza kupindua matokeo ya kesi kwa utashi wao. Tujikite kutatua tatizo la Mbowe kisheria sio kwa nyimbo na ngojera.
View attachment 2108362
Acha kufananisha kifo na USINGIZI.
Mbowe hana kariba yoyote ya kujaribu kumfananisha na hao Magwiji wawili.
Labda kwenu wachaga.
Mbowe angekuwa mwanasiasa nguli asingeshindwa kudhibiti makundi ndani ya chadema
Muwe mnatafakari kabla ya kuja kuandika utumbo wenu humu.
Kukata mauno na kuimba mahakamani nyimbo na ngonjera sio tija ya kisiasa kuweza kusababisha Mbowe akapata ushindi.
Majaji na mahakimu wa Kitanzania wanawigo mpana sana kuweza kupindua matokeo ya kesi kwa utashi wao. Tujikite kutatua tatizo la Mbowe kisheria sio
Wanamamlaka makubwa🤔🤔🤔???????Kukata mauno na kuimba mahakamani nyimbo na ngonjera sio tija ya kisiasa kuweza kusababisha Mbowe akapata ushindi.
Majaji na mahakimu wa Kitanzania wanawigo mpana sana kuweza kupindua matokeo ya kesi kwa utashi wao. Tujikite kutatua tatizo la Mbowe kisheria sio kwa nyimbo na ngojera.
View attachment 2108362
Mkakati wao ni kuweka threads nyingi ili kumtisha jaji
Sijateseka natoa ushauri tu.
Iniume kwa lipi? Kukushauri usikate mauno nje ya mahakama?Ushauri au utoto. Roho inakuuma kwa kuona hivyo.
Kwa hiyo bwana mzee hao judges wako wenye kutia mtu hatian bila hatia waachwe tu kwa 7bu wana wigo mpana? Hzo unazoita ngonjera cjui tarabu zina kazi maalum ya kuwajaza aibu hao majaj wako wahukumu kwa haki.Kukata mauno na kuimba mahakamani nyimbo na ngonjera sio tija ya kisiasa kuweza kusababisha Mbowe akapata ushindi.
Majaji na mahakimu wa Kitanzania wanawigo mpana sana kuweza kupindua matokeo ya kesi kwa utashi wao. Tujikite kutatua tatizo la Mbowe kisheria sio kwa nyimbo na ngojera.
View attachment 2108362