Ngono: Mwisho vijana watakunywa sumu

Ngono: Mwisho vijana watakunywa sumu

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Angalia huyu kijana anachosema,

Screenshot_20240421-115716.jpg
 
Na sasa hivi kuna wimbi kubwa la vijana kukosa nguvu za kiume [emoji16] kwaio kila siku mtu atakuja na mbinu yake yakujiheshimisha Kwa mpenz wake 🥱
Kitu kikisemwa sana kinachukuliwa kuwa ni kweli kumbe hakina uhalisia wowote.

Media ziliingia mtego wa wauzaji wa dawa za nguvu za kiume wakaanza na kutengeneza mindset kwanza kwa wanawake kuwa wengi hawaridhishwi kwenye tendo kisha wakarudi kwa wanaume kuwa hawawaridhishi wanawake kwa sababu hawana nguvu za kiume.

Ukweli ni kwamba tatizo la nguvu za kiume halipo ila watu wanasumbuliwa na magonjwa mengine tu.

Dunia imejaa watu katili sana.
 
Video za ngono zimeharibu sana vijana. Scene moja ya video ya ngono inachukua wiki nzima kuiandaa. Hakuna tatizo la nguvu za kiume. Ukitaka kuwa na nguvu za kiume unatakiwa ufanye mazoezi ya aerobics.(zoezi zuri ni kukimbia jogging). Hii itasaidia kukurudisha katika ubora pia kufanya semen retention inasaidia sana. Ukifanikiwa ku master semen retention unaweza ku-control upigaji wa bao. Kuna wanaume wengi tunashindwa kujicontrol. Mimi mwenyewe nilikuwa siamini katika semen retention. Lakini imebadilisha maisha yangu kwa ukubwa sana. Unaweza ukamwaga kidogo na mashine ikasimama na ukaendelea kumbato. Ukalibana bao na ukamwaga unapotaka.
 
Back
Top Bottom