Avriel
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 4,950
- 5,378
Kuna watu hawazini na wako brokeKuna connection kubwa sana hapo hasa kama mmojawenu nyie wanandoa ana nyota kali kisha akaenda kuchepuka na kukutana na mtu mwenye gundu ni hatari sana hii kitu
.. Na hapa si ishu ya biashara tuu.. Ukiwa na project yoyote hata ya ujenzi wa nyumba epuka tamaa za kuchepuka! Mradi unaweza ufike mahali ufie hapohapo
Kuna wazinzi kinomaaa na matajiri wanatusua tu.
Probability tu hizi.
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app