Ngono na mafanikio katika Biashara

Ngono na mafanikio katika Biashara

Kuna connection kubwa sana hapo hasa kama mmojawenu nyie wanandoa ana nyota kali kisha akaenda kuchepuka na kukutana na mtu mwenye gundu ni hatari sana hii kitu
.. Na hapa si ishu ya biashara tuu.. Ukiwa na project yoyote hata ya ujenzi wa nyumba epuka tamaa za kuchepuka! Mradi unaweza ufike mahali ufie hapohapo
Kuna watu hawazini na wako broke
Kuna wazinzi kinomaaa na matajiri wanatusua tu.
Probability tu hizi.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
hiyo ni kweli mkuu,
kuna mwanamke ukiingiliana nae tu kimwili,utaandamwa na mikosi balaa tena usijeshangaa ndo ikawa kama tiketi ya kufilisika kabisa japo inahitaji akili kulijua hilo maana huwa halitokei vuup.

pia kuna mwanamke ukikutana nae leo kimwili ndani ya siku 2 tu lazma utaanza kuona mambo yanabadilika hii nna ushahid nalo kabisa japo ndo hvyo huyu kiumbe tulipotezana kiajabu ajabu
Na wanaume je?

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Tuweni na mjadara mpana Sana. Maana kuna kipindi Naona maybe why kwa mfano wazungu wezetu wamefanikiwa kupiga hatua katika angle tofauti sababu kubwa huwa Naona kwasababu wapo serious sana kwenye mambo ya mapenzi. So Nasi waafrica tufanye nini kujinasua kwenye hili mie naita jinamizi? Late discus in postive and negative.
Wazungu hawafanyi ngono?

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
So katika zile sheria za mungu amri ya 6 usizini Ni kwaajili ya wanaume?
Wanaume tu ndio wazinzi, hata zile za usitamani hajatajwa mwanamke pale, usitamani mke asie wako na sio mume asie wako.... Teh teh

Ila kwenye torati mwanamke mzinifu alipewa adhabu japo ilikuwa ya kiuonevu ndio Yesu akawamindisha why wampige mawe mwanamke pekee wakati tendo ni mutual?
Mke wa Daudi aliempora kwa Uria aliadhibiwa kwani?

#gospel kitaa

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Wanaume tu ndio wazinzi, hata zile za usitamani hajatajwa mwanamke pale, usitamani mke asie wako na sio mume asie wako.... Teh teh

Ila kwenye torati mwanamke mzinifu alipewa adhabu japo ilikuwa ya kiuonevu ndio Yesu akawamindisha why wampige mawe mwanamke pekee wakati tendo ni mutual?
Mke wa Daudi aliempora kwa Uria aliadhibiwa kwani?

#gospel kitaa

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Basi ngoja tuanze kujiachia 😀
 
Hisia zisizo na uhalisia tu hizi, hakuna watu wachepukaji Kama hao matajiri au viongozi, Sasa mbona hawafilisiki? Na hizo maambukizo Ni laana tu baraka zenyewe haziambukizwi?
Kwamba akitembea na mwenye kusemwa uovu Basi ataambukizwa uovu na kwanini asiambukizwe baraka au wema au utajiri na sio ufukara? Kuna kitu hakipo sawa katika kukariri hizi theory's.. iweje ubebe mikosi pekee wakati mhusika ana both? Fanyeni upya research zenu za kiroho.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app

Shauri yako
 
Uhusiano upo tena mkubwa sana.

Usiparamie wanwake yalioshindikana huko halafu ukadhani hautachukua mikosi.Mtu katoa mimba 10,kajichubua peeee,kucha bandia,matako bandia,nywele bandia,kope bandia,chale mwili mzima,chini huko uchi unaungwa na vipipi,marashi sijui ya jini maana demu mwenyewe kuna mda anapandisha mashetani.

Wewe kwa akili yako,mwanamke km huyu unalala nae nyama kwa nyama.Unadhani hautachukua mikosi?????unataka kuonekana kidume kwa mambo ya kipuuzi ???

Unafanya energy exchanging na mtu mwenye mambo kibao usijue kwenye ulimwengu wa roho jinsi unavyojiingiza kwenye matatizo...

Kila kitu kinaanza kutokea kwenye ulimwengu wa roho.Hujawhi kumiliki chochote km kwenye ulimwengu wa roho hujaruhusu kumiliki.

Ukiwa kwenye mahusiano kuna mawili wewe utaiga tabia za uliyenae au yeye ataiga zako au mtaigana.Ukiwa na rafiki hivyo hivyo

Ukienda kijijini kabisa kukaa utaiga tabia zao au wao wataiga zko au mtaigana.

Sasa km miingiliano ya kawaida tu mtu anapoteza sifa yake ya asili,mali,utu wake sembuse ya nyama to nyama.
Upo deep sana mkuu.
 
Back
Top Bottom