Ngono na mtu aliyejeruhiwa

Ngono na mtu aliyejeruhiwa

Daah, ama kweli Mungu aliumba viumbe vyake😄

Katika kiumbe ambacho kinamkera Mungu na huenda hata amewahi jilaumu kukiumba ni binadamu, kiumbe cha ajabu kabisa.

Mwanzo 6:3 SUV
BWANA akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa miaka mia na ishirini.
 
Habarini Wana JF,

Nina swali kidogo. Hivi mtu aliyejeruhiwa kichwani mfano kukatwa na panga kwenye utosii anaruhusiwa kufanya mapenzi au mpka apone kabisa?

Na je, akifanya hajapona kuna madhara gani?
Making love action iko under control ya brain, so what if part inayohusika na kucontrol love feelings ndo imekuwa damaged na panga?, Kama ni hivo basi utakuwa kama unambaka tu!
 
Back
Top Bottom