Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Habari!
Najua kuwa nitapingwa na baadhi yenu ila sijali. Ujumbe utakuwa umefika.
Shetani amekoleza tamaa za kingono kwenye miili ya vijana mara dufu, kama haitoshi shetani amekoleza tamaa za macho kwa mabinti.
Leo hii binti ambaye anaishi kwa wazazi wake anatamani Iphone macho 3.
Imefika wakati vijana ubongo wao umejaa ngono tu.
Kwa hali hii tusitegemee akili za kingono zikavumbua kitu kipya dunia ikashangaa.
Leo hii kijana anaingia kanisani au msikitini huku ameamoniwa anahudumu kumbe simu yake yenye pornography kaingia nayo ibadani.
Tutaishia kutumia vitu walivyobuni wenzetu tu na sisi tutaita cherehani kiwanda.
Tamaa ya hand bag nzuri, viatu vizuri, simu nzuri na chips yai imepelekea wadada kuwa na wapenzi zaidi ya 3.
Ngono na pombe huharibu akili safi.
Hosea 4:11, Ulevi na divai, na divai mpya huondoa fahamu za wanadamu.