Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Wanaotumia vumbi la Kongo sio kwamba hawana hisia na nia yao sio kupata hisia ni kukomoa wakifikiri kweli wanakomoaHanithi pekee ndio hana hisia, nanyi mnataka muwe ma hanithi ?
Watu wanatafuta hisia za ngono hadi kwa vumbi la kongo wewe unataka kuzi control.