Ngono ndiyo silaha kuu ya Ibilisi anayojivunia nyakati hizi

Ngono ndiyo silaha kuu ya Ibilisi anayojivunia nyakati hizi

Sema Africans bado tunajitafuta sana?

Haya nyie wazee wa sasa ambao mlipokua vijana hamna fikra za ngono mligundua nini?

Haya matatizo n changamoto kutoka kwa ancestors(Mababu zetu).
 
Nasikia utamu wenyewe ulipunguzwa kwenye ile kitu baada ya watu wengi kuwa wanapoteza maisha wakifanya tendo la ndoa.
Huenda maujuzi yote na kiu ya kufanya mara kwa mara ni katika kujua utamu ulipo.
 
Starehe ya masikini ni ngono! Na ngono na maendeleo kila mtu na njia yake huo ndiyo ukweli tukubali tukatae!

Unakuta mtu ana kipato kikubwa tu ila hafanyi maendeleo yoyote hela zake yeye ni za kuhonga malaya tu! Halafu utamsikia naye anailalamikia serikali kuwa inakandamiza uchumi mzunguko wa pesa ni mdogo ndiyo maana kawa masikini!
Kama hauna ni wewe. Matajiri ninaowajua. Wanajengea hao unaowaita malaya nyumba, wanawanunulia magari, wanawapa mitaji, wanawapangishia nyumba na apartment bado utajiri wao unazidi kuwa mkubwa.
Hakuna uhusiano wa umalaya wa mwanaume tajiri na hela zake.
Kama ni umalaya wa ngono. Diamond angekuwa kafirisika.
 
Hivi vitu huwa vinaleta shida sana kuvifikiria...

Ulaya na America wazungu ndio wanaongoza kwa kufanya starehe tena mpaka zile za ajabu lakini wanaishi vizuri na wanaweza kufanya kitu juu ya nchi zao na maendeleo kupatikana.....Wachina wanakula bata kwenye makasino na makamari balaa lakini wanatuburuza..

Wapo matajiri ambao wanakula bata wanahonga na maisha yanawaendea vizuri tu na kila uchwao wanasonga mbele zaidi hata ya akina sie tusiokunywa wala kugongana....ukienda kwenye starehe unakuta maV8 na magari binafsi ya kifahari wahusika wanakula bata lakini maisha yao yako vizuri tu...

Hebu tufafanulie hapa mtoa maada..
 
Wazungu wanatiana kichizi,mixer kufirana hatari Ila ndio wavumbuzi wa kila Kitu.
Wapo tofauti, wanaogundua na kuvumbua na wanaofanya vizuri kibiashara hawafanyi hivyo.

Wengi wameoa tena mke mmoja na wanalinda sana heshima zao hata kama ni wadogo na wakitengana kindoa inakuwa ni habari mitandaoni.

Watazame hawa Matajiri wakubwa zaidi duniani na wengine waliofanikiwa sana. Wakina Tesla, Mark Zuckenberg, Bill Gates n.k
 
Habari!
Najua kuwa nitapingwa na baadhi yenu ila sijali. Ujumbe utakuwa umefika.
Shetani amekoleza tamaa za kingono kwenye miili ya vijana mara dufu, kama haitoshi shetani amekoleza tamaa za macho kwa mabinti.
Leo hii binti ambaye anaishi kwa wazazi wake anatamani Iphone macho 3.
Imefika wakati vijana ubongo wao umejaa ngono tu.
Kwa hali hii tusitegemee akili za kingono zikavumbua kitu kipya dunia ikashangaa.
Leo hii kijana anaingia kanisani au msikitini huku ameamoniwa anahudumu kumbe simu yake yenye pornography kaingia nayo ibadani.
Tutaishia kutumia vitu walivyobuni wenzetu tu na sisi tutaita cherehani kiwanda.
Tamaa ya hand bag nzuri, viatu vizuri, simu nzuri na chips yai imepelekea wadada kuwa na wapenzi zaidi ya 3.
Ngono na pombe huharibu akili safi.
Hosea 4:11, Ulevi na divai, na divai mpya huondoa fahamu za wanadamu.
Kwa hiyo hao mabinti huwa wanajifanya wenyewe!
 
Kama hauna ni wewe. Matajiri ninaowajua. Wanajengea hao unaowaita malaya nyumba, wanawanunulia magari, wanawapa mitaji, wanawapangishia nyumba na apartment bado utajiri wao unazidi kuwa mkubwa.
Hakuna uhusiano wa umalaya wa mwanaume tajiri na hela zake.
Kama ni umalaya wa ngono. Diamond angekuwa kafirisika.
Kwa bongo hao wanaume ni wangapi kulinganisha na hawa masikini wanaolialia kila siku na je factors za utajiri wa hao ni zipi? Halafu na wewe kumbe ni kati ya wale wengi wanaoamini kuwa Diamond anahonga sana?

Aise hebu uliza wanaomfahamu Diamond vizuri acha kuokota story za kwenye vijiwe vya kahawa! Diamond ni mbahili na hahongi hovyo mpaka akuzalishe na anatoa child support tu na hazai na wanawake wa hovyo!

Hawa mademu wengine anaopiga na kusepa hakuna cha maana wanachopewa kulinganisha na utajiri wake nawaonaga tu wanawake wanavyodanganyana! Halafu kumbuka mwenzenu alianza umalaya baada ya kufanya maendeleo!
 
Starehe ya masikini ni ngono! Na ngono na maendeleo kila mtu na njia yake huo ndiyo ukweli tukubali tukatae!

Unakuta mtu ana kipato kikubwa tu ila hafanyi maendeleo yoyote hela zake yeye ni za kuhonga malaya tu! Halafu utamsikia naye anailalamikia serikali kuwa inakandamiza uchumi mzunguko wa pesa ni mdogo ndiyo maana kawa masikini!
Ngono iliyo nje ya ndoa na ulalaji na watu kiholela kuna kula sana uchumi wa watu, magonjwa na mambo mengine.. ngono sio nzuri na starehe ya maskini sio ngono, starehe ya maskini ni kumjua Mungu na kumcha.. hizi semi zingine ni kutengeza au kuharalisha uchafu
 
Mambo Kwa ground ni tofauti aisee
 
Mwanaume ukiweza control hisia na hamu ya ngono na mapenzi umeshatatua nusu ya matatizo yako...
Hanithi pekee ndio hana hisia, nanyi mnataka muwe ma hanithi ?
Watu wanatafuta hisia za ngono hadi kwa vumbi la kongo wewe unataka kuzi control.
 
Adam na Hawa waliambiwa wakaiongeze dunia...

Unadhani ni kwa njia gani?
 
Hakuna jipya chini ya jua, ngono zipo tangu misingi ya dunia kuwekwa.
 
Back
Top Bottom