Ngono ni ibada na madhabahu

Hahahah nipe uzoefu wako[emoji3]
Uzoefu wangu labda nikupe kwa wife na Michepuko yangu.

1. MamaG,
Huyu nyota yake Ni nzur Sana
Inahitaji natunze hela, kweli zinatunzika nafanya vitu vya maana, coz nilivoanza na Sasa nilipo, muongo mmoja na kitu kwny ndoa Si haba. Alhamdullilahi mwanga wa mafanikio nauona mbeleni.

2. Mchepuko MamaJ,
Huyu nyota yake inahitaji nitumie nae pesa zaidi ndo napata pesa Zaid ya nilizotumia.
Tena sio kutumia nae kwny vitu vya maana, Bali vitu vya kijinga jinga Kama pombe, ngono,bar na marafiki.
Kwahyo nyota ya mamaJ inacheza na law ya use&miss use.
Mwaka wa 4 huu kwny mahusiono, tunatumia San, sijayumba,nasonga mbele.

3. Mchepuko Fundi cherehani,
Huyu Huwa nahisi ana gundu,
Nikikutana nae Lazima Kuna Jambo baya la kunirudisha nyuma litatokea.
Liwe dogo au Kubwa,ila lazima TU Kuna namna litatokea.
[emoji117]Nishapata ajali 2 nusu kufa natoka kwake,
[emoji117]nishapata misala ya Tra baada ya kutoka kukutana nae
[emoji117]Nishawahi kuibiwa Dukan usiku ambao nilidanganya Niko Safar,kumbe nmeenda kulala kwake kumchakata
[emoji117]Nishaharibikiwa gar Mara 2 njiani nikienda/kutoka kwake
[emoji117] Biashara haichangamki siku au Jana yake ninapotoka kusex nae.
Mwaka wa 3 huu kwny mahusiano, tuko kwny on/off mode, namtafuta nnapokua nmebanwa Sana

4.mchepuko Mwanachuo
Huyu hata sielewagi nyota yake,
Naona kila kitu Kiko normal ntapokutana nae. Sipati bahati Wala mikosi. Yupo yupo TU. Mwaka wa 2 huu nae Ni on/off mode.
Huwa namtafuta nnapokua na dharula TU.
 
Hapo sasa unajua yupi wa kupiga chini yupi wa kumbakisha
 
Wakulungwa hudai kwa asilimia kubwa sana wachawi ndiyo hupinga uwepo wa uchawi, jitafakari........[emoji2960][emoji143]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Ngono Ina nguvu kwenye maisha. Kuna ngono nuksi na ngono bahati- inategemea na unayengonoka naye
 
😅😅😅 Dah
 
hunaakili wee.kwahio serikali yetu ina uchawi wee kengemaji
Sele kali ndo mchawi nambari-wani wa inchi hii
[emoji117]Jiulize khs ule mshumaa wetu wa taifa,
[emoji117]jiulize sherehe ya uapisho wa prezdaa kimira Huwa hawaruhusiwi waandishi.
[emoji117]Ushawai kujiuliza ule udongo wa mungano ulinyunyiziwa nini?[emoji4]
 
mkuu nakuheshimu sana.ila usinidanganye mkuu.ukienda mahakamani ukasema huyu kamloga mwanangu akafa huwezi kusikilizwa sababu huna ushahidi.👏
 
Duh, dole gumba tena mkuu🤣🤣 anyway nilikuwa natania tu...huku mtaani tunaitana "kiazi" ukizingua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…