DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Uzoefu wangu labda nikupe kwa wife na Michepuko yangu.Hahahah nipe uzoefu wako[emoji3]
1. MamaG,
Huyu nyota yake Ni nzur Sana
Inahitaji natunze hela, kweli zinatunzika nafanya vitu vya maana, coz nilivoanza na Sasa nilipo, muongo mmoja na kitu kwny ndoa Si haba. Alhamdullilahi mwanga wa mafanikio nauona mbeleni.
2. Mchepuko MamaJ,
Huyu nyota yake inahitaji nitumie nae pesa zaidi ndo napata pesa Zaid ya nilizotumia.
Tena sio kutumia nae kwny vitu vya maana, Bali vitu vya kijinga jinga Kama pombe, ngono,bar na marafiki.
Kwahyo nyota ya mamaJ inacheza na law ya use&miss use.
Mwaka wa 4 huu kwny mahusiono, tunatumia San, sijayumba,nasonga mbele.
3. Mchepuko Fundi cherehani,
Huyu Huwa nahisi ana gundu,
Nikikutana nae Lazima Kuna Jambo baya la kunirudisha nyuma litatokea.
Liwe dogo au Kubwa,ila lazima TU Kuna namna litatokea.
[emoji117]Nishapata ajali 2 nusu kufa natoka kwake,
[emoji117]nishapata misala ya Tra baada ya kutoka kukutana nae
[emoji117]Nishawahi kuibiwa Dukan usiku ambao nilidanganya Niko Safar,kumbe nmeenda kulala kwake kumchakata
[emoji117]Nishaharibikiwa gar Mara 2 njiani nikienda/kutoka kwake
[emoji117] Biashara haichangamki siku au Jana yake ninapotoka kusex nae.
Mwaka wa 3 huu kwny mahusiano, tuko kwny on/off mode, namtafuta nnapokua nmebanwa Sana
4.mchepuko Mwanachuo
Huyu hata sielewagi nyota yake,
Naona kila kitu Kiko normal ntapokutana nae. Sipati bahati Wala mikosi. Yupo yupo TU. Mwaka wa 2 huu nae Ni on/off mode.
Huwa namtafuta nnapokua na dharula TU.