Ngono ni ibada na madhabahu

Mm huwa sielewagi kabisa hayo mazaga ya philosophy sijui psychology mara nn..anyways tunatokea bongo na maisha yanasonga tu
 
Kuzungumza juu ya athari za kiroho za kupiga punyeto…. Nimegundua hizi ni mvuto wa mapepo. Mashetani hawaji kimwili kukuangamiza bali wanakushawishi kufanya mambo ya kipuuzi ili kuharibu nafsi yako na mfano ni punyeto. Imesababisha madhara mengi kwa wanaume hasa…wanafanya vibaya kwenye ngono na wenzi wao huishia kudanganya. Pili inapunguza uume na kuifanya kuwa mbaya na isiyopendeza.

Hatimaye punyeto inapunguza kasi ya maendeleo yako katika maisha na haya husababishwa na mapepo… Nazungumza kutokana na uzoefu…

As received toka kwa mdau
 
Chumvi ni tiba bora kabisa lakini kama mwenzi wako ni mchafu kiroho na kabeba negative energy nyingi unapaswa kujitenga naye ... Maana utajisafisha lakini atakuchafua tena

Bro chumvi ni bora kuogea au kuchoma ??
 
Mkuu! Leo asubuhi umefungulia kinywa na kimiminika gani au kitafunwa gani!!? Tuachane na mchana ulichokula, pia jioni hii unafyonza nini hapo!?
 
Hii 💯 ni ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…