Ngono ni ibada na madhabahu

Ngono ni ibada na madhabahu

Mm huwa sielewagi kabisa hayo mazaga ya philosophy sijui psychology mara nn..anyways tunatokea bongo na maisha yanasonga tu
 
Kuzungumza juu ya athari za kiroho za kupiga punyeto…. Nimegundua hizi ni mvuto wa mapepo. Mashetani hawaji kimwili kukuangamiza bali wanakushawishi kufanya mambo ya kipuuzi ili kuharibu nafsi yako na mfano ni punyeto. Imesababisha madhara mengi kwa wanaume hasa…wanafanya vibaya kwenye ngono na wenzi wao huishia kudanganya. Pili inapunguza uume na kuifanya kuwa mbaya na isiyopendeza.

Hatimaye punyeto inapunguza kasi ya maendeleo yako katika maisha na haya husababishwa na mapepo… Nazungumza kutokana na uzoefu…

As received toka kwa mdau
 
Nje ya mada
c0d43acb5418955c8adc3d8ec7853115.jpg
 
Mwanaume au mwanamke anapofanya mapenzi Je anabarikiwa au analaanika? Je, anapata uchungu, au furaha,?

Je anahisi upendo, je, anakupenda? Ngono ni ibada ya kubadilishana nguvu, mawazo, hisia, na roho. Wakati wa ngono unakuwa sifongo ya kiroho kwa fahamu na nishati ya mtu mwingine. Jiulize, "Je, yanachaji upya, yanaponya na kujaza roho yako? Au yanamaliza nguvu zako na nguvu za maisha?" Kuwa mwangalifu na Nguvu za Kweli Zinazomiliki Ngono. Mashetani wapo na watakunyonya roho yako !
Mkuu! Leo asubuhi umefungulia kinywa na kimiminika gani au kitafunwa gani!!? Tuachane na mchana ulichokula, pia jioni hii unafyonza nini hapo!?
 
Sahii kabisa,
Na asilimia Kubwa ya wenye nyota za mafanikio kupitia ngono, wao hawanufaiki na nyota hizo. Huwa wanakua ni daraja TU.

Juma anaekunyandua ukanenepa,
Utashangaa kuona afya yake yeye kadhoofika.

Shaban anaekunyandua ukachunda,
Utashangaa kuona afya yake kanawiri ile mbaya.

CHUNGUZA HILO MKUU[emoji4]
Hii 💯 ni ukweli
 
Back
Top Bottom