Ngorongoro hatarini kupoteza uhai na umaarufu wake kutokana na kukithiri kwa shughuli za binadamu

Ngorongoro solution ilikuwa very simple.

Hela zinazotumika kuwalisha hao Wamasai hadi wanaharibu Ngorongoro ambayo ni moja ya vyanzo nyeti vya mapato vya Taifa hili zitumike katika kuwajengea makazi sehemu nyingine alafu wahamishwe wote
 
Crisis gani?

Nimewahi kutembelea Ngorongoro, nitatumia sana kama bustani ile ya Edeni itaharibika kwa unajisi wa binadamu.
Mamlaka zinatakiwa kuchukua hatua sasa, idadi ya binadamu ndani ya hifadhi inapaswa kupungua au kuondoka kabisa.
 
Naona kuna Watu wanakuja na ubishi usio uhalisia.

Sidhani kama tatizo ni uwepo wa Watu, Mifugo na shughuli zao.

Tatizo ni kuongezeka kwa kasi kwa Watu, Mifugo na Shughuli zao.

Sasa Sisi Watanzania pamoja na nyie mnaotetea hali hii...leo hii tuamue kwa niaba ya Dunia nzima, je tunahitaji Hifadhi ya Ngorongoro iendelee kuwepo au tuifute kabisa?.

Na tukitaka ifutike wala hatuhitaji kufanya lolote ni kukaa na kusubiri tu mambo yatatokea automatically...ila kama tukitaka Hifadhi iendelee kuwepo basi tuna kazi ya kufanya...na kwa bahati mbaya sidhani kama ipo ndani ya uwezo wetu sisi Waswahili.
 
Wakiondolewa wamaasai pale na mapato ya Ngorongoro msahau.
 
Ngorongoro solution ilikuwa very simple.

Hela zinazotumika kuwalisha hao Wamasai hadi wanaharibu Ngorongoro ambayo ni moja ya vyanzo nyeti vya mapato vya Taifa hili zitumike katika kuwajengea makazi sehemu nyingine alafu wahamishwe wote
Sahau hilo. Wamaasai wamekaa pale miongo na miongo na nyakati zote hizo wamekuwa wakihifadhi Ngorongoro. Wamaasai walikuwepo Serengeti na hawakuharibu hadi walipohamishwa kwa mkataba maalum kuja Ngorongoro. Bad enough, makosa yakafanyika 1992 kwa kuuza eneo lingine lisilokuwepo ndani ya hifadhi kwa OBC.
Hakuna mtu wa kulazimishwa kuondoka katika ardhi wanayoiona kama home.
Kama kuhifadhi ni muhimu bila binadamu basi Manongi na akawahamishe Wapare kutoka Mwanga na Same kwenda maeneo ya wazi wanaosema imejaa nchi hii ili upanuzi wa hifadhi ya Mkomazi ufanyike na kuwahamishia wanyama kutoka Ngorongoro. It is simple like that.
Au Damas Ndumbaro akawahamishe jamii ya kule kwao(Wayao, Wangoni na Wamatengo) ili upanuzi wa Selous ufanyike, Wanyama waliopo Ngorongoro wahamishiwe. Umaarufu ujengwe mtaendelea kupata mapato. Simple!
 
Jiandae tu kuondoka Ngorongoro. Mmezidi ushamba na uprimitive. Sehemu zote mnazokaa mnaleta ukame
 
Wewe sasa ndio mjinga kupitiliza.Kwa hiyo hata Same tumeleta ukame sisi? Ngorongoro ni kame?
Ukame wa Dodoma na Singida umesababishwa na Wamaasai?
Kwa hiyo Dunia nzima inapopambana na mabadiliko ya tabia ya nchi tumesababisha sisi?
Acha upumbavu na ulimbukeni wa kuona asiyekubaliana na wewe au your way of life ni mjinga.
HATUONDOKI.
Kama bila Ngorongoro mtakufa njaa, kufeni. Sisi tutakunywa damu na maziwa.
 
We tukana weeeee ila nakwambia ukweli jiandaeni mnaondolewa wote! Hatuwezi kurisk eneo ambalo ndo moja ya vyanzo vikuu vya pesa za kigeni zinazofanya serikali iweze kuwahudumia mamilioni ya Watanzania Kwa sababu ya wapuuzi wachache wasiotaka kubadilika na walioradhi kuharibu mazingira na unyeti wa eneo Kwa sababu ya upuuzi wao!

Ngorongoro lazima ilindwe kwa gharama yeyote ile na kama mlitolewa Serengeti jueni tu na Ngorongoro lazima mtolewe
 
Endelea kuota.
 
Ngorongoro solution ilikuwa very simple.

Hela zinazotumika kuwalisha hao Wamasai hadi wanaharibu Ngorongoro ambayo ni moja ya vyanzo nyeti vya mapato vya Taifa hili zitumike katika kuwajengea makazi sehemu nyingine alafu wahamishwe wote
Great Idea
 
Ukiondoa lugha kali uliyoitumia kujibu lugha kali aliyokuchomoza UMEMWAGA NONDO ZA UHAKIKA
 
Nimewahi kutembelea Ngorongoro, nitatumia sana kama bustani ile ya Edeni itaharibika kwa unajisi wa binadamu.
Mamlaka zinatakiwa kuchukua hatua sasa, idadi ya binadamu ndani ya hifadhi inapaswa kupungua au kuondoka kabisa.
Sahihi
 
Ngorongoro solution ilikuwa very simple.

Hela zinazotumika kuwalisha hao Wamasai hadi wanaharibu Ngorongoro ambayo ni moja ya vyanzo nyeti vya mapato vya Taifa hili zitumike katika kuwajengea makazi sehemu nyingine alafu wahamishwe wote
Na wanatumia hela nyingi sana
 
Na wanatumia hela nyingi sana
Ninyi hamlitetei Taifa. Mnayatetea matumbo yenu. Mnaona hamtaweza kuishi bila NCAA. Lakini jueni kuna kustaafu na kuna kufa. Mtu mmoja hufa ila jamii ya Maa iliyopo ndani ya eneo la NCAA itaendelea kuwepo until the coming back of the Kingdom.
 
Hapana mkuu....hebu twende taratibu. Je Ngorongoro imeathirika au haija athirika?.
 
Back
Top Bottom