Nimeshuhudia ng’ombe wa kifa, watoto wamechakaa kwa lishe duni huku uchafu ukiwa ni jambo la kawaida! Hifadhi hiyo ina wasomi wengi, ila sioni faida yoyote kutoka kwao kuifanya jamii yao ionekane bora! Ufugaji bora na uliorafiki kwa uhufadhi haupo mpango huo!Baadhi ya Picha za hifadhi ya ngororo zinazoonyesha namna muingiliano baina ya watu, mifugo na shughuli nyingine za kibinaadamu ikiwemo ujenzi zinavyoathiri Ikolojia na uhifadhi. Hatua muhimu na za haraka zinapaswa kuchukuliwa kuikoa hifadhi hii bila kuathiri maisha ya wenyeji wa asili.View attachment 2095940View attachment 2095943View attachment 2095941View attachment 2095942View attachment 2095944View attachment 2095945View attachment 2095946View attachment 2095947
Huduma za bure ambazo hutengewa fungu kubwa ni rutuba ya maisha ya anasa kwa viongozi wachache wa kimila na wasomi wachache wa jamii hiyo ambao wengi mkiwachunguza sidhani kama wanampango na wajukuu zao kuendelea kuishi Ngorongoro, kwani huwezi kuwa msomi au kiongozi ukaacha jamii yako iingie mtegoni kwa kukiuka taratibu ili waadhibiwe!
TUNAAMBIWA KITUNZE KIKUTUNZE!
Ningeshauri kuwe na mpango wa sensa ya kila mwaka kwa binadamu! Kuzaliana sio dhambi, ila utaratibu wa kuwapanga wanajamii hawa uwepo wa kuwapa maeneo nje ya hifadhi! Wale wanaotaka kuishi kimagharibi basi wapewe eneo nje ya hifazi wajenge majumba yao waishi! Litengwe eneo katika one of the Maasai steppes wanajamii wapangiwe huko, wale walioamua kuishi kimila wabaki hii itaondoa visingizio!
Jamii hii ielimishwe kuhusu kujitegemea pia! Hifadhi zoote ni kwa ajili ya Watanzania wote! Hii dhama ya huduma bure ndio ina itesa Hifadhi!
Haihitajiki diploma au certificate ya darasa lasaba ku negotiate na wanajamii unless kuna mgongano wa kimaslahi! Ni aibu tulizoea kuona fisi au duma wakikimbiza ndama wa nyumbu pale golini lakini tulistaajabu kuona ni mbwa wa nyumbani wanafanya hiyo kazi!
Priority’s za ajira na Huduma nyingine nazo ziwe kipaumbele kwa watoto wa wazazi watakao kubali kuipa hifadhi pumzi! Kwa kufanya hivyo serikali mtajikuta mna miji yenye majina ya Ngorongoro nje ya hifadhi na mtapata kodi pia!
Ni mtazamo tu