PendoLyimo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 969
- 1,055
- Thread starter
- #41
Crisis gani?Lakini wajue tu kwamba wanatafuta crisis ambayo haijawahi kutokea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Crisis gani?Lakini wajue tu kwamba wanatafuta crisis ambayo haijawahi kutokea.
Nyumba nyingi sana ziko maeneo mengi ya HifadhiHizo nyumba za kifahari ziko sehemu gani,mifugo na wamasai walikuepo kabla ya kuwa hifadhi kipindi hicho babu zako wako kirua
Crisis sawa na ambayo itatokea mabibi zako wakiondolewa Marangu ili kupanua hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro.Crisis gani?
Akili fupi huwaza pafupi pafupi....Wamelipwa hela hawa. Na hizi ni hela wanazozipata kupitia NCAA. Mpunga umetembea sana hadi kwenye baadhi ya magazeti na blogs.
Akili fupi huwaza pafupi pafupi....
Mtandao wa DarMpya Media umeripoti makala fupi inayoonyesha hali ya Hatari ya kutoweka kwa hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro kutokana na kuingiliana kwa kasi kubwa baina ya binaadamu, mifugo, uhifadhi na wanyama pori.
Katika Makala hiyo fupi Dar mpya ambao wamerejea andiko la Gazeti la JAMVILAHABARI wameonyesha mambo mbalimbali ikiwe ujenzi wa nyumba za matofali ambazo haziruhusiwi kisheria hifadhini, Ujenzi wa Nyumba za Ghorofa ambazo haziruhusiwi Hifadhini, Kuongezeka kwa mifugo kutoka chini ya mifugo elfu hamsini hadi zaidi ya mifugo milioni moja hivi sasa, kuongezeka kwa watu kutoka watu 8000 hadi zaidi ya watu laki moja hivi sasa.
Pamoja na yote makala hii inatoa mwanga na mwelekeo chama kwa wadau wa uhifadhi, mazingira na haki za binaadamu za kutafuta suluhu ya pamoja na ya haraka.
Tafadhali fuatilia makala hii fupi kukielimisha kuhusu Ngorongoro
Posho zimetokaWamelipwa hela hawa. Na hizi ni hela wanazozipata kupitia NCAA. Mpunga umetembea sana hadi kwenye baadhi ya magazeti na blogs.
Mbona kama umepaniki sana broo. Kwani Maisha nje ya hifadhi hayawezekani?Hifadhi ya Ngorongoro inatowekaje?
Ingekuwa imetoweka siku nyingi kama sababu mnazotoa zingekuwa ndio actual reasons. Kuna sababu za nyuma ya pazia na ndio maana mmelipwa mmpige debe.
Zamani ndio kulikuwa na ng'ombe wengi.
AiseePosho zimetoka
Kwani nao wanaishi ndani ya hifadhi?... usichanganye kupanua hifadhi na kutunza hifadhi kuepusha uharibifu.Crisis sawa na ambayo itatokea mabibi zako wakiondolewa Marangu ili kupanua hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro.
Ona hapo Pundamilia, Mbuzi, Ng'ombe, kondoo na Nyumbu wapo pamoja wanakulaCrisis gani?
What is This bro?.... ni kweli hatuwezi kupata vitu vyote kwa pamoja?. Wamasai wanaofuga wapate eneo salama wafuge, wapate hela na Hifadhi itunzwe Taifa lipate helaHifadhi ya Ngorongoro inatowekaje?
Ingekuwa imetoweka siku nyingi kama sababu mnazotoa zingekuwa ndio actual reasons. Kuna sababu za nyuma ya pazia na ndio maana mmelipwa mmpige debe.
Zamani ndio kulikuwa na ng'ombe wengi.
Yanawezekana ila kukaa karibu na hifadhi ni dili zaidi.Mbona kama umepaniki sana broo. Kwani Maisha nje ya hifadhi hayawezekani?
Inafaa lakini kwa hali kama ni hivi ilivyoripotiwa ungetafutwa tu utaratibu mwengine mzuriYanawezekana ila kukaa karibu na hifadhi ni dili zaidi.
Hayawezekani. Watu wa Ngorongoro sio majangili. Uwepo wao unaisaidia sana kuzuia ujangili. Hatuondoki kwa sababu tukiondoka, hao wanyama wataisha kwa ujangili kama unaofanyikaga kule Selous.Mbona kama umepaniki sana broo. Kwani Maisha nje ya hifadhi hayawezekani?
Ndio kivutio cha utalii sasa. Ndio umaarufu wa Ngorongoro. Wanyama waliopo Ngorongoro wapo pia Mikumi, Tarangire, Selous, Katavi lkn hifadhi zote hizo hazina umaarufu wa Ngorongoro.Ona hapo Pundamilia, Mbuzi, Ng'ombe, kondoo na Nyumbu wapo pamoja wanakula
View attachment 2097601
SanaInasikitisha sana...
Sidhani kama u unakielewa unachokisemaHayawezekani. Watu wa Ngorongoro sio majangili. Uwepo wao unaisaidia sana kuzuia ujangili. Hatuondoki kwa sababu tukiondoka, hao wanyama wataisha kwa ujangili kama unaofanyikaga kule
Sure?Ndio kivutio cha utalii sasa. Ndio umaarufu wa Ngorongoro. Wanyama waliopo Ngorongoro wapo pia Mikumi, Tarangire, Selous, Katavi lkn hifadhi zote hizo hazina umaarufu wa Ngorongoro.
100%. Nyie kuleni hela lkn hatuondoki. Changamoto za Ngorongoro zinaweza kutatuliwa kwa pamoja bila kuwatishia wanangorongoro kuondolewa.Sure?