Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mtu mweusi yupo tayari kumuua ndugu yake mbele ya pesaWaarabu wale wamefanya ushenzi sana mkataba ndio unawabeba,juzi nimeona wanaomba kuongezewa ukubwa wa eneo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu mweusi yupo tayari kumuua ndugu yake mbele ya pesaWaarabu wale wamefanya ushenzi sana mkataba ndio unawabeba,juzi nimeona wanaomba kuongezewa ukubwa wa eneo
Hao ndio wapangiwe cha kufanya.Kule nako kuna ujenzi holela wa hoteli.
Sites zinagawiwa kama njugu za kuonja.
Usiku ni mitaa tu inatambulisha mitaa.
Holela sana yaani...
Nenda ukapambanie kilimo cha kahawa kama roho haitaki kuona mifugo imechanganyika na wanyamapori.Sina hakika kama ameshawahi kuwa sober
Yaani sisi Watalii wa ndani twende Ngorongoro kuangalia Mbuzi na Kondoo? si bora nikatalii Vingunguti kwenye soko la Mbuzi.
Serengeti ni kubwa mno, mimi nataka niende Ngorongoro kwenye korongo lile ambako Wanyama wote wako sehemu moja.Serengeti ndio kila kitu.....huko kwa wachunga mbuzi na akina ng'ombe na vimbwa koko hapana
Jitihada Kati ya nani na nani. Mimi sihusiki kwa kweli na Sina mamlaka ya kumuhamisha yeyote. Bali Kuna mamlaka inayomiliki ardhi, inaweza kubatilisha matumizi ya ardhi mda wowote na hao watu wakahamishwa mbugani wakapelekwa kwingine.Jitihada za pamoja zinahitajika
Wewe ni nani?Jitihada Kati ya nani na nani. Mimi sihusiki kwa kweli na Sina mamlaka ya kumuhamisha yeyote. Bali Kuna mamlaka inayomiliki ardhi, inaweza kubatilisha matumizi ya ardhi mda wowote na hao watu wakahamishwa mbugani wakapelekwa kwingine.
Unakumbuka waliohamishwa jangwani na kupewa viwanja mabwepande? Unakumbuka waliobomolewa Morogoro road ili barabara ya kimara-kibaha ipanuliwe mita 120? Hiyo ndiyo nguvu ya mamlaka. Hiyo mamlaka isipofanya kazi yake Mimi nifanyeje?
Nadhani leo umeanza kuwa sober...Nenda ukapambanie kilimo cha kahawa kama roho haitaki kuona mifugo imechanganyika na wanyamapori.
Sisi tumezoea. Na hata waliopo nje ya hifadhi kama Kiteto, Longido, bado wanyamapori ni wengi na huchanganyika na mifugo.
Umewahi kusikia wanyamapori wameangamia kwa sababu ya kuchangayika na mifugo?
Madai yenu sio fact. Ni umbeya baada ya kulipwa hela.
Serengeti ni kubwa mno, mimi nataka niende Ngorongoro kwenye korongo lile ambako Wanyama wote wako sehemu moja.
Kinachonishangaza ni kwamba mamlaka ya ngorongoro ina wahifadhi na wataalam wengi tu wa masuala hayo pamoja na TANAPA na wao wapo huko wanajionea vizuri na kufahamu hali hiyo sasa ni kwa nini wasiishauri serikali ni nini hasa kinatakiwa kufanyika kuokoa hali hii..Watawala hakuna wanachoweza kufanya, akilizao zimefubaa kwa mawazo ya kupiga pesa kila eneo na kuhakikisha wanabaki madarakani, .....Uzalendo ZERO, Ubunifu ZERO, Kujituma ZERO, Upendo ZERO, Mapenzi kwa Taifa ZERO.
Wahamiaji kutoka wapi?Nadhani leo umeanza kuwa sober...
Kinabishaniwa hapa actually siyo mifugo kuchanganyika na binadamu na wanyamapori. HAPANA!
Rejea vizuri ili ujielekeze vyema!
Tatizo ni kukithiri shughuli za kibinadamu ambazo ni tofauti kabisa na malengo ya msingi kabisa ya kuanzishwa kwa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA).
Wahamiaji wanaokuja na mifugo yao kutoka maeneo mbali mbali ndani na nje ya nchi.
Inajulikana wazi kuwa wenyeji pamoja na watumishi wa NCAA wapo wenye maslahi binafsi hapa.
Kitu ambacho hamkijui ni kuwa asilimia kubwa ya wageni wanaotembelea Hifadhi zetu wanalalamikia sana hali za hizo Hifadhi.
Na ni nadra sana kurudia kufanya safari zao unless wawe na nia ya kuwekeza!
Mkuu Midimay ina maana hujui kuwa mle ndani NCAA kuna ng'ombe kutoka maeneo mbalimbali ya Tanzania na Kenya??Wahamiaji kutoka wapi?
Hayo ni maneno matupu kama ya kwenye kanga. Ng'ombe wanapita wapi hadi wafike kwa wenyeji kinyume na utaratibu?Mkuu Midimay ina maana hujui kuwa mle ndani NCAA kuna ng'ombe kutoka maeneo mbalimbali ya Tanzania na Kenya??
Ina maana hujui kuwa wanawalipa wenyeji kuwahifadhia hao ng'ombe??
Unataka kusema nini kwa mfano mkuu?Nenda ukapambanie kilimo cha kahawa kama roho haitaki kuona mifugo imechanganyika na wanyamapori.
Sisi tumezoea. Na hata waliopo nje ya hifadhi kama Kiteto, Longido, bado wanyamapori ni wengi na huchanganyika na mifugo.
Umewahi kusikia wanyamapori wameangamia kwa sababu ya kuchangayika na mifugo?
Madai yenu sio fact. Ni umbeya baada ya kulipwa hela.
Sidhani kama kuna mtu mwenye mpango wa kupambana na jamii nzimaHayo ni maneno matupu kama ya kwenye kanga. Ng'ombe wanapita wapi hadi wafike kwa wenyeji kinyume na utaratibu?
Na kwanini lengo lisiwe kupambana na wenye nia ovu?
Kwanini nguvu zielekezwe kwa jamii nzima?
Hakunaga mahali ambapo jamii nzima hutenda vitendo vya jinai kama hiyo ya kupokea ng'ombe kutoka nje.
Nimekoma kujibizana na wewe... Nahisi upo shimoni au matopeni au majalalani. Unajua hujui!Hayo ni maneno matupu kama ya kwenye kanga. Ng'ombe wanapita wapi hadi wafike kwa wenyeji kinyume na utaratibu?
Na kwanini lengo lisiwe kupambana na wenye nia ovu?
Kwanini nguvu zielekezwe kwa jamii nzima?
Hakunaga mahali ambapo jamii nzima hutenda vitendo vya jinai kama hiyo ya kupokea ng'ombe kutoka nje.
Huna content ndio maana unakimbia. Mtu mwenye content hakomi kujibu.Nimekoma kujibizana na wewe... Nahisi upo shimoni au matopeni au majalalani. Unajua hujui!
Soma tena post yako between the lines. Au ulipewa word file ukaambiwa lipost humu? Kwa malipo ya buku 7?Sidhani kama kuna mtu mwenye mpango wa kupambana na jamii nzima