Ngorongoro huenda kuna "crime against humanity" ya kutisha

Serikali ipi i- respond? serikali hii inayowazuia watu kwenda Ngorongoro ndio i-respond kwa ujinga inaowafanyia wamasai Ngorongoro?

Kuwa serious kidogo.
Do you support the expansion of human activities at Ngorongoro? and if so to what extent considering the disruption of wildlife normality.

Explain

Masaai eventually has to change; hakuna namna.
 
Soma ujumbe katumiwa dada'ko hapo juu na wazungu, tena mmetafsiriwa kabisa.
 
Do you support the expansion of human activities at Ngorongoro? and if so to what extension considering the intervention of wildlife.

Explain
Answer my questions first please!.
 
Do you support the expansion of human activities at Ngorongoro? and if so to what extent considering the disruption of wildlife normality.

Explain

Masaai eventually has to change; hakuna namna.
Like building hotels and tourist vehicles??
 
Answer my questions first please!.
Hukuwa na swali zaidi ya kutaka kuona ‘status quo’ ya Loliondo way of life is preserved.

Mimi sasa ndio nimekuuliza swali ‘eventually at whose cost’. The animal life which is limited and depends nature or clever and reasonable Masai who can adapt.

Wewe tuelewe unataka vipi ili Ngorongoro ibaki kama natural reserves nini kifanyike,
 
NAIPONGEZA SEREKALI, NGORONGORO IPO CHINI YA OPERESHENI ISIYO RASMI YENYE LENGO LA KUIPONYA, TUKIRUHUSU MAKAZI NA MAISHA YA KIBINADAMU KUONGEZEKA IPO SIKU TUTAIKOSA NA NGORONGORO ITAJA KUWA HADITHI, YAPO SI YA KUYACHEKEA TUACHE KUJITOA UFAHAMU.
 
Huu ukatili kuna mbunge aliwahi kuomba bunge lisimamisje shughulizake ili kuujadili, maana wanawake walikuwa wanababuliwa ngozi na mapanga ya moto. Majaliwa akasema atachunguza, na haya mambo alianza kile kibabu Mwinyi.., hawa waZenji sijui wamerogwa!
 
Lissu alizuiwa kwanini? Waandishi wa Habari wanazuiwa kwanini? , wamasai huko Kenya wanaishi mjini?
 
Hey Mr. can you write all that in English?
I don't understand what did you say?
 
Like building hotels and tourist vehicles??
Unajua hata tofauti ya hotel moja inachukua size gani ardhi na; Goma moja ya familia kimaasai size yake.

Unaweza sema ni hotel ngapi kwa mwaka zinawezwa jenga Ngorongoro na magoma mangapi kwa mwaka yanawezwa jengwa kwa mwaka wamasaai wakiendekezwa.

Serikali haijafukuza Masaai, Ngorongoro ilichosema population iliyopo inatosha. Maboma yaliyopo yawe ya kurithishana. Wengine wamepewa maeneo nje ya hifadhi kuanza maisha.

Masaai hataki kuelewa yeye anataka kujenga maeneo ya wanyamapori pathetic, wanyama ambao wenyewe wana taratibu zao.

Wapi duniani wanaruhusu binadamu kuingilia maisha ya wanyamapori.

Mshukuruni huyo Samia. Mimi binafsi kama ningekuwa kiongozi wa hiyo ningetandika Lissu na Lwaigan yeyote aliyemtuma na kesho yake naamka na vizuri tu (regardless hao wahusika wapo hai au wafu); mna bahati mna mama wa kubembeleza ujinga.

Mimi kama mimi I will do that, kwenye maswala mapana ya nchi ambayo ni sahihi kwangu wala isingekuwa shida kumuumiza mtu.
 
Hey Mr. can you write all that in English?
I don't understand what did you say?
Sakapoko kweli, sijui lini umejiunga JF kama mpaka leo ujaelewa mimi nimekulia ulaya; na hayo mambo ya lugha grammatically either nimeandika sahihi or bot sio issues zangu.

You are just stupid
 
Sakapoko kweli, sijui lini umejiunga JF kama mpaka leo ujaelewa mimi nimekulia ulaya; na hayo mambo ya lugha grammatically either nimeandika sahihi or bot sio issues zangu.

You are just stupid
English please, what did you say? Write in English?

Ujaelewa = Hujaelewa
 
Wewe ni mjinga. Unathamini wanyama kuliko watu.
 
Write in English you scumbag, write in English
 
Nimekuuliza unataka serikali ipi i-respond kwa yanayotokea Ngorongoro? hii iliyozuia watu kukanyaga huko ndio unataka watu waipelekee ushahidi wa kinachotokea Ngorongoro? yani uwazuie watu kukanyaga eneo fulani, halafu bado uwatake watu hao hao wakuletee ushahidi kuhusu eneo ulilowakataza kuingia?

Bado huoni maswali hapo!
 
Ndio kumpa mwarabu ardhi .Yani wewe hipo siku mke wako atachukuliwa sababu ukiamini uwezi kumlea
 
English please, what did you say? Write in English?

Ujaelewa = Hujaelewa
Trust pound tukienda kwenye lugha ya wazungu mie sio wa size yako.

Please talk of others things, either you believe I know or don’t understand the English language. It’s not something that bothers me in the slightest.
 
Tuzidishe jitihada za ndani za kupinga udhalimu huu. Wamasai ni binadamu wenye haki ya kuishi na mupewa hifadhi na jamii kubwa ya Watanzania katika mazingira yao.

Watu wasilete sababu za kijinga kuwa eti wanaishi kqenye mazingira hatarishi ya wanyama wakali. Wajapan, Wairani na wahindi wanaishi kwenye nchi ambazo ni earthquake prone, lakini hakuna anayefikiria kuwahamisha kwa nguvu.

Mliopo maeneo hayo na hata waliopo maeneo mengine, zifanyike kila jitihada, hata za kijasusi, kuwafikia wamasai hao na kupata vielelezo halisi vya udhalimu dhidi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…