Ngorongoro huenda kuna "crime against humanity" ya kutisha

Ngorongoro huenda kuna "crime against humanity" ya kutisha

Do credible checks and present evidencing facts for the government to respond.

Sio kuokota ujinga wa mitandaoni halafu utake serikali ikujibu; wakati huna facts za Ngorongoro.

Wanyamapori lazima wajifanafasi maporini na himaya zao lazima zilindwe.

Masaai population lazima iwe controlled kulinda maeneo ya hifadhi.
Mchango wa kijinga kabisa. Kwa upumbavu wa fikra hizi, nyumbu wakizaliana sana, itabidi Watanganyika wote wahamishiwe Zanzibar ili wanyama wajinafasi?

Facts gani mjinga anazitaka zinazoweza kumwondolea ujinga wake wa kudumu? Ushahidi upo wazi kuwa Serikali inawazuia watu huru kutoka taasisi mbalimbali wanaotaka kwenda kuupata ukweli. Kama hakuna uovu, unaogopa na kuficha nini? Kama serikali ingekuwa safi katika hili ingefurahia taasisi mbalimbali huru, vikiwemo vyombo vya habari vya kimataifa kwenda maeneo hayo ili ijisafishe na tuhuma za uovu.
 
Huu ndio ulinzi wenyewe. Wanyama wanalindwa kwelikweli
 
Do credible checks and present evidencing facts for the government to respond.

Sio kuokota ujinga wa mitandaoni halafu utake serikali ikujibu; wakati huna facts za Ngorongoro.

Wanyamapori lazima wajifanafasi maporini na himaya zao lazima zilindwe.

Masaai population lazima iwe controlled kulinda maeneo ya hifadhi.
Na wewe acha ukasuku,Wamasai ni jamii ya Wafugaji na wala hawali nyamapori na vilevile hawalimi.Sasa wanaathiri nini kama siyo Uhuni wa viongozi wa serikali.Unapozungumzia utunzaji wa misitu na uoto Tanzania huwezi kuwaweka kando Wamasai.
 
Wacha kuandika kijinga "huenda" ndiyo nini?

Unataka wamasai bado wawachwe shimoni huko na kuwa kivutioa cha watalii kwa kutupiwa biskuti na vijihela vya kupiga nao picha?

Hilo jambo lipo muda mrefu, wamepewa mashamba, nyumba na bado waendekezwe kuishi kama wanyama? Na hao wanyama huko wakaishi wapi, waingie mitaani?

Kama kuna "crime of humanity" kwa kuhamisha watu basi iongelee ya vijiji vya ujamaa vya nyerere, watu walitupwa maporini, hakuna chochote, walioliwa n simba haya, waliogongwa na nyoka haya, walioliwa na chatu haya, waliokufa kwa njaa haya, waliokufa kwa kukosa matibabu haya.

Mbona ile hamfunguwi midomo? Hamuijuwi?

Hao wahamishwe tu huko shimoni, hakuna namna. Hatuwezi kuona Watanzania wenzetu wakiendelea kuwa kivutio cha utalii kijinga.
Mwambie Mama yako awaondoe na Waadzabe porini Ili waache kula mizizi,nyamapori na matunda,wanaharibu Mazingira.
 
Mchango wa kijinga kabisa. Kwa upumbavu wa fikra hizi, nyumbu wakizaliana sana, itabidi Watanganyika wote wahamishiwe Zanzibar ili wanyama wajinafasi?

Facts gani mjinga anazitaka zinazoweza kumwondolea ujinga wake wa kudumu? Ushahidi upo wazi kuwa Serikali inawazuia watu huru kutoka taasisi mbalimbali wanaotaka kwenda kuupata ukweli. Kama hakuna uovu, unaogopa na kuficha nini? Kama serikali ingekuwa safi katika hili ingefurahia taasisi mbalimbali huru, vikiwemo vyombo vya habari vya kimataifa kwenda maeneo hayo ili ijisafishe na tuhuma za uovu.
Shida yenu amfuatalii mambo ya wanyamapori, taratibu zao, namna serikari inavyo manage ecosystem zao na kwanini mpaka leo tuna maeneo ya wanyama pori na hifadhi za taifa

Kwenye vichwa vyenu mnadhani bila ya management ya TANAPA mpaka leo mngekuwa na hifadhi za taifa; wakiachia tu binadamu waingilie maeneo ya wanyama pori,

Masaai ni wazimu tu
 
Ulisikia kuna Mwarabu kafanya makazi yake kwenye kitalu cha kuwindia ambacho kapewa kisheria na anafata sheria? Unafikiri watu wanawinda kila siku kwenye vitaku vya kuwindia Tanzania?

Kun on season, utaona wanashuka KIA na Dar, wao na wateja wao. Off season hukuti mtu huko zaidi ya walinzi na ngedere wanaohamia.

Loliondo ile ni biashara ya halali kabisa, na vitaku vipo vingi sana Tanzania si hicho tu.

Wacheni ujinga wa kuwasakama Waarabu wanaowaletea maendeleo bila kuwasimanga wala kujionesha.
Mwarabu kaleta maendeleo gani? Zanzibar yenyewe aliijenga ovyoovyo,vichochoro kama Uswahilini,Buguruni kwa Madenge!
 
It’s a no brainer when it comes population density and expansion.

Mimi sio shabiki wa Maasai kuondolewa Ngororo, lakini lazima tuwe wa kweli; kila familia kijana wake kujenga boma jipya hilo swala aliwezekani.

Kwa sasa kuweka Masaai Ngorongoro swala la maboma yawe mambo ya urithi; wengine watoke.

Wanyamapori wana desturi zao ambazo sio sahihi kuziingilia na wanyamapori wana limited knowledge which is not fair to interrupt. Nonetheless humans are reasonable creatures.

Masaai anataka ajenge mpaka kuingilia wild symbiotic systems; Ngororo ili ibaki kama wild reserve lazima kuwe na ulazima wa ku manage human activities. Kucheka na Maasai inatosha
Wakenya wanafanyaje kule Masai Mara,mbona hatujasikia hamisha hamisha kama kwetu!
 
Na wewe acha ukasuku,Wamasai ni jamii ya Wafugaji na wala hawali nyamapori na vilevile hawalimi.Sasa wanaathiri nini kama siyo Uhuni wa viongozi wa serikali.Unapozungumzia utunzaji wa misitu na uoto Tanzania huwezi kuwaweka kando Wamasai.
Ukiwaacha wajifanyie mambo wanavyotaka na idadi yao inaongezeka hadi kuingia maeneo ya wanyamapori; mwisho wa siku nani atatwaa hayo maeneo Maasai au Simba.

Think
 
Wakenya wanafanyaje kule Masai Mara,mbona hatujasikia hamisha hamisha kama kwetu!
Hao sio ndio wanaotuongezea shida wanakuja upande wetu na kuongeza population density. Halafu hao Keretu wa Karatu wanadai ni ndugu zao wenyeji.

Maasai lazima atambue nchi ina sheria na hazieshimu.
 
Tuzidishe jitihada za ndani za kupinga udhalimu huu. Wamasai ni binadamu wenye haki ya kuishi na mupewa hifadhi na jamii kubwa ya Watanzania katika mazingira yao.

Watu wasilete sababu za kijinga kuwa eti wanaishi kqenye mazingira hatarishi ya wanyama wakali. Wajapan, Wairani na wahindi wanaishi kwenye nchi ambazo ni earthquake prone, lakini hakuna anayefikiria kuwahamisha kwa nguvu.

Mliopo maeneo hayo na hata waliopo maeneo mengine, zifanyike kila jitihada, hata za kijasusi, kuwafikia wamasai hao na kupata vielelezo halisi vya udhalimu dhidi yao.
Mbona msitu wa Amazon una Wanyama wakali lakini kuna jamii zinaishi umo kwa utaratibu maalumu uliowekwa na serikali,Why not Ngorongoro and Serengeti!!
Samia anapewa ushauri wa ovyo sana!
 
Ukiwaacha wajifanyie mambo wanavyotaka na idadi yao inaongezeka hadi kuingia maeneo ya wanyamapori; mwisho wa siku nani atatwaa hayo maeneo Maasai au Simba.

Think
Wewe huo utafiti ulifanya lini wa kuonesha kuwa uwingi wa Masai unaharibu ikolojia ya Ngorongoro?
Masai wamekuwepo hapo miaka mingi sana na wanatunza Mazingira,labda ungeniambia Kuna jamii ya Wakulima na jamii zingine zimehamia Ngorongoro,hapo ningekuelewa.
 
Mbona msitu wa Amazon una Wanyama wakali lakini kuna jamii zinaishi umo kwa utaratibu maalumu uliowekwa na serikali,Why not Ngorongoro and Serengeti!!
Samia anapewa ushauri wa ovyo sana!
Una fahamu size ya Amazon forest, ukubwa wake, hipo nchi ngapi na jinsi ushirikiano wa ulinzi.

Amazon Forest ni size ya EU continent if not more unaifananisha Ngororo; ukiona watu wanaharibu mazingira ni very remote places; sio wazi kama Masaai wanavyotaka kuharibu mbuga za Tanzania.

Jitihada za kumdhibiti Maasai kwa sasa sio optional ni za lazima.
 
Wewe huo utafiti ulifanya lini wa kuonesha kuwa uwingi wa Masai unaharibu ikolojia ya Ngorongoro?
Masai wamekuwepo hapo miaka mingi sana na wanatunza Mazingira,labda ungeniambia Kuna jamii ya Wakulima na jamii zingine zimehamia Ngorongoro,hapo ningekuelewa.
So what usually happens to an eco system; when population density grows.

Shida yenu ni kwamba hamfuatilii hoja ya serikali; Maasai hawajafukuzwa Ngorongoro isipokuwa inahitaji control ya population ya watu kulinda wanyapori.

Serikali haivunji boma la mtu lilikuwepo kwa miaka mingi, ni muda wa wengine kusogea kutoingilia maeneo ya wanyamapori.
 
Huo ndio ujinga mnaojazana.

Maasai Ngorongoro kesha heshimiwa kwa miaka.

Waliopo inatosha, makazi yaliyomo yawe ya urithi.

Masaai hataki kuelewa anataka aongeze himaya ndani ya hifadhi.

Serikali na wadau wakimataifa wametumia hela nyingi sana kwenye hilo somo ‘hifadhi ya taifa aiwezi kuhudumia binadamu na wanyama tena’.

Hakina swala pia wana mitaa yao waliyozoea kwenda kuzalua, kunywa maji, kunenepea kwa karne; Masaai aelewi anataka kuingilia maeneo yao.

Sasa swala hana akili za kufikiria akiingiliwa eneo lake plan b ni ipi, ila Masaai ni-reasonableness wa kumwambia mnatosha hayo maeneo tuwaachie hakina Simba tutakupa eneo lingine to indulge with your lifestyle; hataki. Wee vipi.

Masaai population ndani ya mbuga za hifadhi needs control huo ndio uhalisia; sio kucheka na hawa watu.
Bro tumia akili mnawahamisha Hao watu mnawapeleka wapi hio Jamii ni ya tofauti na Jamii zingine

Hauwezi ukaniambia unampeleka mmasai mwenye wake wa Tano na watoto 15 kwenye kijumba Cha room mbili na sebule ni udhalilishaji dhidi ya Hao watu ni mateso hamjawalipa pesa zao

Lakini pia Hawa jamaa wamekaa miaka mingapi huko wameharibu Nini?
 
Hakuna mtu anapelekwa mjini.

Wametengewa maeneo ambayo wanaweza kuranda kama wanavyopenda.

Na hawajafukuzwa Ngorongoro kama unavyosimuliwa ni kwamba hilo eneo kwa sasa imezuia expansion ya majengo mapya raia to preserve the wildlife habitat; wao hawataki kuelewa wanataka hakina swala na Simba ndio wawapishe wao.
 
Kwa jinsi serikali inavyobehave huko Ngorongoro, huenda kuna makosa ya kutisha dhidi ya binadamu yanayofanyika huko. Hii nguvu ambayo serikali inatumia ili kuzuia ukweli inatoka wapi?

Hali hii inatia mashaka sana kwa sababu haiwezekani serikali iwageuze wananchi wake kama watumwa wasiostahiki haki yoyote katika nchi yao.

Inawezekana vipi uzuie wananchi wa eneo moja wasiwe na contact na wenzao?, unataka kuficha nini?
Kwa mujibu wa katiba ya nchi, wananchi wana haki ya kwenda mahali popote nchini. Sasa inakuwaje Serikali inazuia watu kwenda huko Ngorongoro, hii inakuwaje?

Hapa kuna kitu, huenda kuna crime against humanity ya kutisha sana huko ngorongoro, na ninapenda kuwaonya wote wanaohusika kwenye uhalifu huu kuwa hili jambo siyo dogo, na litawafikisha pabaya sana. Kama wasipokaa chini na kujitafakari, watapelekwa katika mahakama za kimataifa za uhalifu dhidi ya binadamu, wajitafakari sana.

1. Tunaambiwa bajeti ya kuhudumia wananchi wa Ngorngoro imesimamishwa
2. Wananchi wanawekewa vikwazo vikubwa vya kupata mahitaji yao msingi ikiwemo manunuzi ya msingi ambayo zamani walikuwa wakiyapata karatu.
3. Wanaume wamekimbia maboma yao kuogopa kukamatwa, wanawake ndo wanalea maboma yao.

Huu ukatili huu, rais Samia unawezaje kuuvumilia?.

Nakushauri rais Samia. Mama acha, acha kabisa, hili ishu ni kaa la moto. achana nayo kabisa. Kama mwarabu katoa pesa ili ajimilikishe ngorongoro rudisheni hizo pesa. Zitakutokeeni puani, Hizo pesa hazina maslahi kwa Taifa.

Hakuna pesa duniani zenye thamani kuliko maisha ya wananchi. Hivi ni heshima gani mbele ya huyo mwarabu mnaipata kwa kuuza wananchi wenu kwa vipande vya fedha?

Taarifa zilizopo ni kuwa wamasai wanachomewa nyumba zao, mazao yao, mifugo yao imewahi kupewa chumvi ya sumu, mnawaharrass viongozi wao!. Huu ni uhalifu mkubwa sana wa kibinadamu.

Dunia inaona, na tunadocument, huko mbeleni wahusika wa udhalimu huu wakifikishwa the hague tusije tukalaumiana!
ikiwa kama kuna crime against humanity kama unavodhani, then ni "Crime Scene".
kama mtu sio polisi au mpelelezi anakwenda kufanya nini kwenye crime scene area?
itakuwa ni jeshi dhaifu tu linaloweza kuruhusu mtu yeyote tu kuingia creime scene area.
therefore polisi wako sahihi ikiwa ngorongoro kuna crime agaist humanity. Hilo ni jambo moja.

Pili,
Aridhi yote Tanzania ni mali ya umma.
Imekabidhiwa kawa Rais kama mdhamini au msimamizi mkuu wa ardhi yote ya Tanzania kwa niaba ya waTanzania wote.

Kwahiyi basi mamalaka ya juu ya usimamizi wa ardhi Tanzania, ni Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

wsimamizi wengine wa ardhi, wakimsaidia Rais kwa mujibu wa sheria za nchi ni pamoja na;-

waziri wa ardhi.
kamishna wa ardhi.
Makamu kamishna.
Makamishna wasaidizi wa ardhi.
kamati za ugawaji ardhi.
baraza la kitaifa la ushauri la ardhi.
mamlaka za serikali za mitaa.
halmashauri ya kijiji.

sasa pamoja na mtazamo na maoni tofauti ya wanasiasa na wananchi kuhusu ardhi ya Ngorongoro, bado uamuzi wa taasisi zilizochukua hatua dhidi ya matumizi ya ardhi ya Ngorongoro ni sahihi na hata kesi za zuio zilizofunguliwa na wananchi hazitafua dafu bali, uamuzi wake utatoa elimu zaidi kwa wanasiasa na wanachi, juu ya nani anaweza kuamua nini kinaweza kufanyika kwenye ardhi ya Tz, kwasababu ukweli na haki ya mwenye uamuzia wa matumizi ya ardhi tanzania upo wazi kisheria.
 
Back
Top Bottom