The Shah of Tanganyika
JF-Expert Member
- Jul 2, 2023
- 602
- 1,572
Population ya wajinga kama wewe pia iwe controlled. You may be the next to be killed as well.Do credible checks and present evidencing facts for the government to respond.
Sio kuokota ujinga wa mitandaoni halafu utake serikali ikujibu; wakati huna facts za Ngorongoro.
Wanyamapori lazima wajifanafasi maporini na himaya zao lazima zilindwe.
Masaai population lazima iwe controlled kulinda maeneo ya hifadhi.
Malaika wangu walivyo wakali vitisho vyako viwe hivi hivi vya JF au siku ukiniona univizie ufanye yako (kama utafanikiwa).Population ya wajinga kama wewe pia iwe controlled. You may be the next to be killed as well
Wewe ni mpumbavu na itakuwa msengelema ......Do credible checks and present evidencing facts for the government to respond.
Sio kuokota ujinga wa mitandaoni halafu utake serikali ikujibu; wakati huna facts za Ngorongoro.
Wanyamapori lazima wajifanafasi maporini na himaya zao lazima zilindwe.
Masaai population lazima iwe controlled kulinda maeneo ya hifadhi.
Utaratibu wangu siku hizi watu kama nyie msio na adabu nawapeleka kwenye ignore list.Wewe ni mpumbavu na itakuwa msengelema ......
🔧🔧Masaai population ndani ya mbuga za hifadhi needs control huo ndio uhalisia; sio kucheka na hawa watu.
Takataka wewe ...Utaratibu wangu siku hizi watu kama nyie msio na adabu nawapeleka kwenye ignore list.
Personal sina muda wa kumtusi mtu au kuvumulia matusi anymore.
Thanks JF for the ignore option.
Huyo sio mjinga ni mpumbavu.Ungenyamaza ingekusaidia kuficha ujinga !
Bila kumsahau STAN KATABALOWangekuepo waandishi kama akina Azori Gwanda wangetupa taarifa, bahati mbaya saaana waliobaki wote ni kama hawapo!
Mlimtandika Lissu risasi hili afe chakushangaza baadhi yenu ndio wamekufa na Lissu bado anadundaUnajua hata tofauti ya hotel moja inachukua size gani ardhi na; Goma moja ya familia kimaasai size yake.
Unaweza sema ni hotel ngapi kwa mwaka zinawezwa jenga Ngorongoro na magoma mangapi kwa mwaka yanawezwa jengwa kwa mwaka wamasaai wakiendekezwa.
Serikali haijafukuza Masaai, Ngorongoro ilichosema population iliyopo inatosha. Maboma yaliyopo yawe ya kurithishana. Wengine wamepewa maeneo nje ya hifadhi kuanza maisha.
Masaai hataki kuelewa yeye anataka kujenga maeneo ya wanyamapori pathetic, wanyama ambao wenyewe wana taratibu zao.
Wapi duniani wanaruhusu binadamu kuingilia maisha ya wanyamapori.
Mshukuruni huyo Samia. Mimi binafsi kama ningekuwa kiongozi wa hiyo ningetandika Lissu na Lwaigan yeyote aliyemtuma na kesho yake naamka na vizuri tu (regardless hao wahusika wapo hai au wafu); mna bahati mna mama wa kubembeleza ujinga.
Mimi kama mimi I will do that, kwenye maswala mapana ya nchi ambayo ni sahihi kwangu wala isingekuwa shida kumuumiza mtu.
Kwa jinsi serikali inavyobehave huko Ngorongoro, huenda kuna makosa ya kutisha dhidi ya binadamu yanayofanyika huko. Hii nguvu ambayo serikali inatumia ili kuzuia ukweli inatoka wapi?
Hali hii inatia mashaka sana kwa sababu haiwezekani serikali iwageuze wananchi wake kama watumwa wasiostahiki haki yoyote katika nchi yao.
Inawezekana vipi uzuie wananchi wa eneo moja wasiwe na contact na wenzao?, unataka kuficha nini?
Kwa mujibu wa katiba ya nchi, wananchi wana haki ya kwenda mahali popote nchini. Sasa inakuwaje Serikali inazuia watu kwenda huko Ngorongoro, hii inakuwaje?
Hapa kuna kitu, huenda kuna crime against humanity ya kutisha sana huko ngorongoro, na ninapenda kuwaonya wote wanaohusika kwenye uhalifu huu kuwa hili jambo siyo dogo, na litawafikisha pabaya sana. Kama wasipokaa chini na kujitafakari, watapelekwa katika mahakama za kimataifa za uhalifu dhidi ya binadamu, wajitafakari sana.
1. Tunaambiwa bajeti ya kuhudumia wananchi wa Ngorngoro imesimamishwa
2. Wananchi wanawekewa vikwazo vikubwa vya kupata mahitaji yao msingi ikiwemo manunuzi ya msingi ambayo zamani walikuwa wakiyapata karatu.
3. Wanaume wamekimbia maboma yao kuogopa kukamatwa, wanawake ndo wanalea maboma yao.
Huu ukatili huu, rais Samia unawezaje kuuvumilia?.
Nakushauri rais Samia. Mama acha, acha kabisa, hili ishu ni kaa la moto. achana nayo kabisa. Kama mwarabu katoa pesa ili ajimilikishe ngorongoro rudisheni hizo pesa. Zitakutokeeni puani, Hizo pesa hazina maslahi kwa Taifa.
Hakuna pesa duniani zenye thamani kuliko maisha ya wananchi. Hivi ni heshima gani mbele ya huyo mwarabu mnaipata kwa kuuza wananchi wenu kwa vipande vya fedha?
Taarifa zilizopo ni kuwa wamasai wanachomewa nyumba zao, mazao yao, mifugo yao imewahi kupewa chumvi ya sumu, mnawaharrass viongozi wao!. Huu ni uhalifu mkubwa sana wa kibinadamu.
Dunia inaona, na tunadocument, huko mbeleni wahusika wa udhalimu huu wakifikishwa the hague tusije tukalaumiana!
Lakini sio mbaya tunaye KitengeWangekuepo waandishi kama akina Azori Gwanda wangetupa taarifa, bahati mbaya saaana waliobaki wote ni kama hawapo!
Hahahahaha nimeishia kucheka tuLakini sio mbaya tunaye Kitenge
Ase mkuu mm natokea hayo maeneo najua Nini kinaendeleaHakuna mtu anapelekwa mjini.
Wametengewa maeneo ambayo wanaweza kuranda kama wanavyopenda.
Na hawajafukuzwa Ngorongoro kama unavyosimuliwa ni kwamba hilo eneo kwa sasa imezuia expansion ya majengo mapya raia to preserve the wildlife habitat; wao hawataki kuelewa wanataka hakina swala na Simba ndio wawapishe wao.