PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
comedianWith the presence of Comred Makonda ,Prof. Kabudi and Hon.Lukuvi ,every thing will be ok
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
comedianWith the presence of Comred Makonda ,Prof. Kabudi and Hon.Lukuvi ,every thing will be ok
Siku zote njia ya mwongo ni fupi sanaDuuuhhh si walisema wengi wamehamia Msomela ndiyo maana tarafa zikafutwa?? Sasa hii nyomi inatoka wapi??[emoji15][emoji15][emoji15]
Wamejitokeza wengi kupinga propaganda za Wapuuzi wa CCM waliosema ni kikundi kidogo. Wewe na akili zako mgando unashabikia kuumbuliwa?Wapinzani na wanaharakati walidai kuwa Rais wetu sio msikivu.
Leo, Rais Samia kamtuma mwakilishi wake wa juu kabisa kuwasikiliza na kuzungumza na Wamasai wa Ngorongoro.
Walisema Wamasai hawawezi ongea na mtu yoyote zaidi ya Rais, lakini leo wamempokea Mkuu wa Mkoa na kuzungumza naye.
Ukweli ni kwamba, propaganda za mitandaoni na uhalisia kwenye ground ni vitu viwili tofauti.
Mama ni mtu wa maridhiano, wananchi wamejitokeza kwa wingi kwaajili ya kusikiliza ujumbe kutoka kwa Rais Samia Suluhu Hassan
Hawakujitokeza kwa wingi bali viongozi wamewafuata walipo waandamanaji ambao kwa siku tano sasa mfululizo wamepiga kambi mahali hapo, kushindikiza mheshimiwa rais afike kuwasikiliza.Wapinzani na wanaharakati walidai kuwa Rais wetu sio msikivu.
Leo, Rais Samia kamtuma mwakilishi wake wa juu kabisa kuwasikiliza na kuzungumza na Wamasai wa Ngorongoro.
Walisema Wamasai hawawezi ongea na mtu yoyote zaidi ya Rais, lakini leo wamempokea Mkuu wa Mkoa na kuzungumza naye.
Ukweli ni kwamba, propaganda za mitandaoni na uhalisia kwenye ground ni vitu viwili tofauti.
Mama ni mtu wa maridhiano, wananchi wamejitokeza kwa wingi kwaajili ya kusikiliza ujumbe kutoka kwa Rais Samia Suluhu Hassan
Mtu wa maridhiano wakati amekuwa akiwaua kwa miaka kadhaa sasa....atakuwa anaenda kujipanga lia hatofanikiwa kamwe....Wapinzani na wanaharakati walidai kuwa Rais wetu sio msikivu.
Leo, Rais Samia kamtuma mwakilishi wake wa juu kabisa kuwasikiliza na kuzungumza na Wamasai wa Ngorongoro.
Walisema Wamasai hawawezi ongea na mtu yoyote zaidi ya Rais, lakini leo wamempokea Mkuu wa Mkoa na kuzungumza naye.
Ukweli ni kwamba, propaganda za mitandaoni na uhalisia kwenye ground ni vitu viwili tofauti.
Mama ni mtu wa maridhiano, wananchi wamejitokeza kwa wingi kwaajili ya kusikiliza ujumbe kutoka kwa Rais Samia Suluhu Hassan
With the presence of Comred Makonda ,Prof. Kabudi and Hon.Lukuvi ,every thing will be ok
Lijalo ni baya zaidiWAPINZANI HASA CHADEMA NDIYO WAMEPIGANIA MASLAHI YA WAMASAI KUBAKI NGORONGORO... THE REST NI UPUUZI TU