Ngorongoro wamasai wajitokeza kwa wingi kupokea ujumbe wa Rais Samia.

Wamejitokeza wengi kupinga propaganda za Wapuuzi wa CCM waliosema ni kikundi kidogo. Wewe na akili zako mgando unashabikia kuumbuliwa?
 
Ulikuwa unaunga mkono maasai kufurushwa na huduma kusitishwa,

Maasai wamekaza, msimamo umebadilishwa,

Tuseme Rais amekuangusha Kwa kupiga U-turn ktk suala hili.

Uwe unatumia common sense!!
 
Hawakujitokeza kwa wingi bali viongozi wamewafuata walipo waandamanaji ambao kwa siku tano sasa mfululizo wamepiga kambi mahali hapo, kushindikiza mheshimiwa rais afike kuwasikiliza.


Propaganda kuwa walijitokeza kwenda kumsikiliza kiongozi wa serikali hazina mashiko.

Wiki yote hii picha hizo za wananchi wa Ngorongoro kupiga kambi zimetapakaa katika mitandao ya kijamii ndani ya nchi na hadi kimataifa.

Tazama video hii ya tarehe 22 Agosti 2024 uone maelfu ya wakazi wa Ngorongoro waliopiga kambi katika kilima kwa siku tano mfululizo kushindikiza rais Samia Hassan afike kuwasikiliza :


View: https://m.youtube.com/watch?v=pQJZG68rzEw
 
Mtu wa maridhiano wakati amekuwa akiwaua kwa miaka kadhaa sasa....atakuwa anaenda kujipanga lia hatofanikiwa kamwe....
 
WAPINZANI HASA CHADEMA NDIYO WAMEPIGANIA MASLAHI YA WAMASAI KUBAKI NGORONGORO... THE REST NI UPUUZI TU
 
Ila kuna watu mnatia kinyaa sana.

Juzi mama Samia alitaka kuwahamisha hao watu na hata mkafunga njia zote za kupata chakula na mahitaji nyie mabata mkawa mbele kabisa kusifu hizo hatua na mkasema kabisa ni halali kufuta vijiji na vitongoji. Wamasai wakakaza wakagoma, mama kashuka chini kasoma alama za nyakati sasa manguruwe yanaibuka yanamsifu sasa! Nyie si mlikuwa against wamasai juzi tu hapa? Hivi hamsikii aibu?

Uchawa ni kitu kibaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…