Burungutu sandawesu
Senior Member
- Sep 11, 2022
- 153
- 261
USAID, UNICEF, SAVE THE CHILDREN, UNDP, WORLD CHURCH SEVIRCE, IRC, WORLD VISION NAKADHALIKA, haya mashirika huwa yanatoa kazi kila siku mitandaoni, na for the past seven years nimekua nikiapppy kupitia portal zao, lakini sijawahi itwa sio interview ya ana kwa ana hata ile online aptitude test, nimeshare cv yangu na wale ma career guiders na ma hr ambao mimefanya nao kazi sesehemu mbali mbali nikidhajinlabda shida mi cv or something , tumerekebisha to the standards za kimataifa, all certificates are cleans na huwa nazingatia sana qualifications zao wanapotoa tangazo yani kama ninazo sifa tajwa ndio naomba.. i came to this conclusion kama hizi kazi wanazitoa kutghost tu kuwa zimetangazwa ila wamesha zijaza nafasi au kuna sababu ingine? Idont know, ila naomba kujua apart na kuwa na qualifications zoote kuanzania academics, experince, na other documentations zitazohitajika kuna nini kingine ambacho hawakiweki kwenye tangazo la kazi ili tuwe nacho,, nahisi ni Impossible kupata kazi kwenye haya mashirika,