Ngozi Okonjo-Iweala, aliemgaragaza Amina Mohammed, aukwaa Ukurugenzi Ukuu WTO

Ngozi Okonjo-Iweala, aliemgaragaza Amina Mohammed, aukwaa Ukurugenzi Ukuu WTO

Wewe jifunze kumention mtu kirasmi kwa kuweka @ mbele ya jina la mtu. Jina lake likiwa na rangi ya samawati ndio unajua kuwa amepata habari. Vipi umeposti message zaidi ya elfu kumi na saba na bado hujaelewa jinsi ya kumention mtu? Joto wacha kuniangusha.
Mbona bado haibadiliki rangi?
 
Hehe rais wenu eti ana Phd ya chemistry na huku kizungu kinamshinda. Maskini wa Mungu. Huwa anatia huruma akijaribu kuzungumza kwa kizungu.
Kama ningekua mimi nisingezungumza kiingereza hata siku moja, hakuna kitu ninachukia kama mwafrika kuitwa John, Joseph, Wilium, Tony, Tyson, utumwa gani huu?.

Ninajisikia raha nikisikia majina ya Raila Oginga Odinga, Uhuru Mwegae Kenyatta, Kungu Kadogosa. Ngugi wa Thing'o. Hivi unajisikiaje kuwapa watoto wako jina la "Washington", Elizabeth na majina ya kizungu kama sio ujinga na utumwa wa Kimawazo?
 
Hii ni habari njema Geza, hata kwa Wakenya. Najua unangojea Wakenya wakasirike ila hii ni habari njema kwa Waafrika wote. Hapa hakuna battle. Hongera kwake. Nimefurahi kama mwafrika.
Mbona magazeti na serikali yenyu imekaa kimya? Hamna pongezi!
 
Mbona magazeti na serikali yenyu imekaa kimya? Hamna pongezi!
Tanzania ni kitovu cha Kiswahili bora, tusikubali kuwapa nafasi hawa jamaa kukichafua, wakiona mtanzania anatumia maneno yao mabovu, watadhani ndio kiswahili sanifu, hili neno "yenyu sio sawa tafadhali tusilitumie ili lifutike ktk vichwa vyao.
@ Tony254
 
Unatumia app ya jamiiforums na hapo ndipo kuna tatizo,

Kwenye app ukimmention mtu halafu mention isibadilike rangi lazima ulazimike uedit comment yako kutenganisha ] na @ kwa sababu ikikaa hivi ]@ mention haiwezi kutokea [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Mbona magazeti na serikali yenyu imekaa kimya? Hamna pongezi!
Ni Sunday. Hakuna mtu yeyote wa Serikali anayefanya kazi leo. Ngoja hadi Kesho. Ila president Uhuru nategemea atatoa hongera zake leo kupitia twitter.
 
Hahaha. joto la jiwe anajua mambo mengi ila hajui kumention mtu kwenye JF. Maajabu ya Musa.
Mimi sio mzuri kabisa katika eneo zima la "IT", huwa ninashindwa hata kupost tweets zaidi ya moja katika post moja, lazima kila "tweets niibandike "separately".

Ninawaona wenzangu wanakusanya tweets nyingi na kuzibandika katika post moja, wanawezaje?.
Tony254
 
Wow. Hongera sana mzee. Angalau sasa umefanikiwa kumention mtu. Hahaha
 
Mimi sio mzuri kabisa katika eneo zima la "IT", huwa ninashindwa hata kupost tweets zaidi ya moja katika post moja, lazima kila "tweets niibandike "separately".

Ninawaona wenzangu wanakusanya tweets nyingi na kuzibandika katika post moja, wanawezaje?.
Tony254
Sasa ukinimention nitakuwa napata habari hata nisipoingia JF kwa wiki nzima bado nitapata habari uliyotaka kuniarifu.
 
Back
Top Bottom