joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hata mimi ninaungana na wewe katika hilo, ila kiukweli ni kwamba CCM kinanguvu sana kiasi kwamba sio rahisi kwa upinzani nchi hii kuweza hata kupata idadi ya viti vingi bungeni.Mimi ninachouzika na CCM ni huu mtindo wa kupita bila kupingwa! Utaleta machafuko si mzuri! Mambo ya kutaka Bungeni kuchukua over 80% ya viti haitusaidii! Kiukweli kwenye Wabunge kama si hizi hujma CCM na upinzani ungegonga 50-50! Imagine CCM wana Wabunge 30+ ready kuapishwa hata kabla ya 28/10!
Kama alivyosema, upinzani wa maana katika nchi hii lazima utokane na kusambaratika kwa CCM, nje ya CCM hakuna wana siasa wa maana, ndio sababu hata wao wenyewe wanasubiri atakayeachwa au kujitoa CCM ndio wanampa "ticket ya kugombea urais kwa tickets za vyama vyao", hii maana yake ni kwamba " rejected CCM candidate" is the best candidate in opposition, hujuma sio sana kama upinzani unavyotaka kutuaminisha, japo zipo kidogo.