joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Sawasawa kabisa HDI ni kigezo bora cha kupima ni kiasi gani nchi imeendelea, kawaida UNDP wanakusanya data kila baada ya miaka kumi kama sikosei, nina uhakika data zitakazo toka baada ya kujumuisha miaka mitano ya Magufuli, Tanzania itakua overall winner.Basi kama Hutaki Gdp wala Gni per capita basi kuna kipengele kingine ambacho kinatumika sana na NGOs na UN ila hakijajikita sana katika mambo ya uchumi. Kipengele hiki kinaitwa Human development Index (HDI). Kinazingatia kila kitu cha muhimu katika maisha ya binadamu ikiwemo level of education na health care. Sasa unataka tulinganishe level ya HDI ya Kenya na Tanzania ili tujue ni mwananchi mgani anaishi maisha bora zaidi?
Kama unataka hio battle sema.
Halafu pia unaweza kusoma kuhusu HDI hapa:
Human Development Index - Wikipedia
Tanzania imewekeza sana katika miradi ya maendeleo ya wananchi wa kawaida
1)Afya
2)Kusambaza umeme
3)Kusambaza maji
4)Kuimarisha miundombinu ya kilimo
5)Ujenzi wa shule na vyuo
6) Ujenzi wa barabara za wilaya na mikoa
7)Kupunguza unemployment rate
8)Uhakika wa upatikanaji wa chakula
Katika hivi vipengele, Tanzania ipo juu ya Kenya tena kwa mbali sana.