TANZIA Nguli wa Soka Duniani, Mbrazili Pele afariki dunia

Matibabu ya kidini yanakuwaje?
 
Mungu anauchukia mpira?kivipi?na hii ni kwa imani ya upande upi?
 
Pumzika kwa amani mwamba wa Soka,umefanya kazi iliyotukuka duniani kwa upande wa Soka.
 
yule ni nguli wa soka duniani, wapenda soka wanafuatilia rekodi zake, vyombo vya habari duniani vinamuandikaje baada ya kuondoka duaniani. Kama si mshabiki wa mpira wa miguu hutamuelewa Pele alikuwa nani kwenye ulimwengu wa soka

Mimi nawaelewa only Messi na Diego Armando,usipowaelewa hawa basi wewe sio mwanamichezo..
 
Waislam bana[emoji23] mnapenda sana kuchangiwa changiwa, si mtoe sadaka za kutosha na kuweka vitega uchumi mjijengee wenyewe?

Gadaffi na wengine kawajengeeni, bado mnataka na Pele awajengee???

Poor you.
Sasa madrasa Pele yanamhusu nini? Waislam jamani!!
 
Mimi nawaelewa only Messi na Diego Armando,usipowaelewa hawa basi wewe sio mwanamichezo..
Ukiwataja hawa huwezi kumuacha Pele katika ubora wake. Messi ni wa kizazi hiki cha soka na Pele alikuwa wa kizazi chake, kwa hiyo hao wote ni kitu kimoja katika ulimwengu wa soka
 
Ni kweli mkuu, Wala hukudanganywa. Na Kuna mengine mengi tu hujasimuliwa yote
Alishawahi kupiga shuti likagonga mwamba juu mpaka bomba ikakatika vipande viwili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…