King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
M.A.P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
R.I.E.P LEGENDNyota huyo wa zamani wa Santos FC, anayetambuliwa kama mmoja wa Wanasoka bora zaidi wakati wote, alilazwa hospitalini tangu Novemba 29, 2022 huko Sao Paulo
Ripoti ya utabibu kabla ya Krismasi ilionyesha alihitaji uangalizi kwa ajili ya ugonjwa wa moyo na figo, na amekuwa akipambana na saratani ya utumbo tangu Septemba 2021
Pele (82) ambaye jina lake halisi ni Edson Arantes do Nascimento alianza kuichezea Santos akiwa na miaka 15 na timu ya taifa mwaka mmoja baadaye, na kucheza Kombe la Dunia la 1958 akiwa na miaka 17
Wakati wa uchezaji wake wa Kimataifa, alishinda Kombe la Dunia mara tatu - mnamo 1958, 1962 na 1970 huku akiwa ni mchezaji pekee aliyefanikisha hili.
View attachment 2462794
===
Brazilian football star Pele has died at the age of 82, his agent has told the Associated Press.
The former Santos FC star, widely regarded as one of the greatest footballers of all time, had been at the Albert Einstein Israelite Hospital in Sao Paulo since 29 November.
A medical report just before Christmas showed that he needed care for cardiac and renal dysfunction, having been battling colon cancer since September 2021.
Pele - originally named Edson Arantes do Nascimento - began playing for Santos at the age of 15 and the Brazilian national team a year later, bursting onto the world football scene as a 17-year-old in the 1958 World Cup.
During his international career, he won three World Cups - in 1958, 1962 and 1970 - the only player to achieve this.
His role in Brazil's third victory, in Mexico in 1970, has gone down in football folklore, as he played a key role in arguably the sport's greatest ever international team.
His glittering 20-year career from 1957 to 1977 saw him score 757 goals in 831 games, although Santos claim his tally was closer to 1,000.
Wanazaliana hao.Believe me.Wakifa wanatake off watoto, wajukuu zao.Watakuja kufa
Ni wa Manzese pale Argentina.Kwamba mashariki wa Messi wamekuwa kama wazaramo[emoji23][emoji23]. Wanakichamba Hadi unadead?
We mwenyewe si umeona kilichomtokea Pele lakiniKwamba mashariki wa Messi wamekuwa kama wazaramo😂😂. Wanakichamba Hadi unadead?
Hii ni defamation, una mwanasheria lakiniWe mwenyewe si umeona kilichomtokea Pele lakini
Hi habari hipo tiyariZa asubuhi wakuu,
Anaitwa Adson Arantes do Nascimento aka "Pele". Kwa wale wafuatiliaji wa mambo ya mpira wa miguu bila shaka nadhani watakuwa wanamfahamu fika gwiji, mfalme na bingwa huyu wa mpira wa miguu wa muda wote ambae aliwahi kujizolea umaarufu kutokana na umahiri wa uchezaji wake na ufungaji mabao wa aina yake awapo uwanjani.
RIP Pele.
Me pia [emoji16]Nilijuaga ni mzugu kumbe ni wa kwetu, RIP
Ya sikuwa nimeiona mkuu.Hi habari hipo tiyari
Duh!Aisee!Kumbe kutazama mpira wa miguu ni dhambi?tatizo huko anakoenda sasa! hawaujui mpira wanataka ibada! huku ameondoka shujaa ila sasa kisago atakacho kumbana nacho huko! amewafanya waache kwenda kusali washinde kutwa kwenye luninga wakiangalia pasi na tobo za maudhi ,mungu anauchukia sana mpira,nikama sanamu yenye nguvu sana kwa sasa hapa duniani namuonea huruma maana jehanum ndio mahala pake!
tatizo huko anakoenda sasa! hawaujui mpira wanataka ibada! huku ameondoka shujaa ila sasa kisago atakacho kumbana nacho huko! amewafanya waache kwenda kusali washinde kutwa kwenye luninga wakiangalia pasi na tobo za maudhi ,mungu anauchukia sana mpira,nikama sanamu yenye nguvu sana kwa sasa hapa duniani namuonea huruma maana jehanum ndio mahala pake!
Wa jina lala salama....
Ok.Kumbe yanafanana?Huwa namangamanga jinsi majina yanavyoandikwa muda mwingine.Wa jina lala salama....