TANZIA Nguli wa Soka Duniani, Mbrazili Pele afariki dunia

TANZIA Nguli wa Soka Duniani, Mbrazili Pele afariki dunia

Timu Messi mnamidomo ya namna gani sijui ona mmemsema sana mgonjwa mpaka amefariki!!!!

Wahenga walikosea sana kusema maneno hayavunji mfupa, for the first time nimegundua walitudanganya
Sio sisi mkuu, ni kale kakoti ka dhahabu alikovalishwa Messi na mwana wa mfalme ndio kameleta yote haya!

Anyway, nasikia kijana wenu mpendwa wa Ufaransa alikua anadeti na mwanaume mwenzie?
 
Sio sisi mkuu, ni kale kakoti ka dhahabu alikovalishwa Messi na mwana wa mfalme ndio kameleta yote haya!

Anyway, nasikia kijana wenu mpendwa wa Ufaransa alikua anadeti na mwanaume mwenzie?
😭😭😭😭😭😭😭😂😂😂😂😂😂
Ina maana aliluwa anamfanya mwenzie hivi?🖕
 
Dah! sikutegemea kabisa hii habari ya huyu mwamba. Apumzike kwa amani.Michel na Pele kwangu hawa sio watu.
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ina maana aliluwa anamfanya mwenzie hivi?[emoji867]
Bana wee, hebu ngoja tumalize msiba!
 
C1254DA7-86E3-40BC-841A-E310EA9A64E5.jpeg

Mnamo 1977, vyombo vya habari vya Brazil viliripoti kwamba Pele alitolewa figo yake ya kulia.

Mnamo Novemba 2012, Pele alifanyiwa upasuaji wa nyonga. Mnamo Desemba 2017, Pelé alionekana kwenye kiti cha magurudumu kwenye droo ya Kombe la Dunia la 2018 huko Moscow ambapo alipigwa picha akiwa na Rais wa Urusi Vladimir Putin na Diego Maradona.
764BF2D6-A5B5-42A6-B54F-16BA409BD27B.jpeg

Mwezi mmoja baadaye, alianguka kutokana na uchovu na kupelekwa hospitali.

Mnamo 2019, baada ya kulazwa hospitalini kwa sababu ya maambukizi ya njia ya mkojo, Pele alifanyiwa upasuaji wa kuondoa mawe kwenye figo.

Mnamo Februari 2020, mwanawe Edinho aliripoti kwamba Pelé hakuweza kutembea kwa kujitegemea na kusita kuondoka nyumbani, akihusisha hali yake na ukosefu wa ukarabati kufuatia upasuaji wake wa nyonga.

Mnamo Septemba 2021, Pele alifanyiwa upasuaji wa kuondoa uvimbe upande wa kulia wa koloni yake.

Ingawa binti yake mkubwa Kely alisema "anaendelea vyema", inasemekana alirudishwa kwenye uangalizi maalum siku chache baadaye, kabla ya kuachiliwa mnamo 30 Septemba 2021 ili kuanza matibabu ya kemikali.

Mnamo Novemba 2022, ESPN Brasil iliripoti kwamba Pelé alikuwa amepelekwa hospitalini akiwa na "uvimbe wa jumla", pamoja na masuala ya moyo na wasiwasi kwamba matibabu yake ya kidini hayakuwa na athari inayotarajiwa; binti yake Kely alisema "hakukuwa na dharura".

Mnamo Desemba 2022, Hospitali ya Albert Einstein ambako Pelé alikuwa akitibiwa, ilisema kwamba uvimbe wake ulikuwa umeongezeka na alihitaji "huduma zaidi inayohusiana na matatizo ya figo na moyo".

Alikufa hospitalini kutokana na kushindwa kwa viungo vingi, tatizo la saratani ya utumbo mpana, tarehe 29 Desemba 2022, akiwa na umri wa miaka 82.
 
Sio sisi mkuu, ni kale kakoti ka dhahabu alikovalishwa Messi na mwana wa mfalme ndio kameleta yote haya!

Anyway, nasikia kijana wenu mpendwa wa Ufaransa alikua anadeti na mwanaume mwenzie?
Sitaki kuingia kwenye ligi ya maneno na nyie

Msije mkanisema na mimi nikafa bure
 
R. I. P Legend.
Ukapumzike kwa amani. 🙏
Sikuwahi kukushuhudia ila kwa taarifa zilizopo ulifanya makubwa sana. Wataibuka wengine wenye vipaji kama ww au zaidi.
 
Tutakumiss nilisema kama mzoefu niliyefanya kazi palliative unit.I said itakuwa ngumu kufika 2023.R.IP Baba
Dada yangu ukiongelea palliative care, unanikumbusha simanzi, nimepita kwenye vituo vyote hivyo......
Nilikuwa natoka nimechoka kiakili, sababu nilikuwa naona vijana kabisa wenye terminal...
Na shughuli yangu ni disruptve inabidi wazazi watoke kwenye chumba, naenda kuishia kupiga stori na kijana, Aisee maisha ni @~#&*%$£........Acha tu........
 
Back
Top Bottom