Ngumi hupiganwa mara 5 kwa siku Kariakoo

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
1626061206456.png
 
Hapa kuna mpira gani zaidi ya mpira wa hamasa??badala ya kufundisha watu mpira muda mwingi unatumika kuwapa hamasa wachezaji!!
Unadhan km uwekezaj na mipango ingekua km ya eng matokeo yangefanana na haya???
 
Eritrea na madagasca wana uwekezaji gani mbona wametuacha?tatizo la letu wala sio uwekezaji bali ni ubabaishaji tu, wa kutegemea miujiza kwenye soka, bila mikakati madhubuti, kuna kipindi ambacho timu ya taifa inatunzwa kama miaka hii nini cha ajabu kilichoongezeka?!
 
Tunaposema uwekezaj hatuishii kwenye pesa tu weled na mipango sahih inayotekelezeka nayo ni uwekezaj.
 
Pesa kwanza, ndio ina facilitate mipango hiyo yote, kwa sasa pesa ipo , ila hakuna mipango inayoeleweka, na wachezaji wenyewe wako wapi?
 
Back
Top Bottom