Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DahSoko limeungua sasa watapigana mara 1 kwa siku.
Domo iko kubwa Sana kuliko kichwaEngland jana wamelia sana mkuu tatizo wana mdomo sana
Walipigwa ngapi mkuuEngland jana wamelia sana mkuu tatizo wana mdomo sana
England na Tz, wala hatuna tofauti yoyote ile, kelele nyingi, na kama jana wangeshindaaa!!!!England jana wamelia sana mkuu tatizo wana mdomo sana
Acha kutudhalilisha kwa kutufananisha na engEngland na Tz, wala hatuna tofauti yoyote ile, kelele nyingi, na kama jana wangeshindaaa!!!!
Hapa kuna mpira gani zaidi ya mpira wa hamasa??badala ya kufundisha watu mpira muda mwingi unatumika kuwapa hamasa wachezaji!!Acha kutudhalilisha kwa kutufananisha na eng
Unadhan km uwekezaj na mipango ingekua km ya eng matokeo yangefanana na haya???Hapa kuna mpira gani zaidi ya mpira wa hamasa??badala ya kufundisha watu mpira muda mwingi unatumika kuwapa hamasa wachezaji!!
Eritrea na madagasca wana uwekezaji gani mbona wametuacha?tatizo la letu wala sio uwekezaji bali ni ubabaishaji tu, wa kutegemea miujiza kwenye soka, bila mikakati madhubuti, kuna kipindi ambacho timu ya taifa inatunzwa kama miaka hii nini cha ajabu kilichoongezeka?!Unadhan km uwekezaj na mipango ingekua km ya eng matokeo yangefanana na haya???
Tunaposema uwekezaj hatuishii kwenye pesa tu weled na mipango sahih inayotekelezeka nayo ni uwekezaj.Eritrea na madagasca wana uwekezaji gani mbona wametuacha?tatizo la letu wala sio uwekezaji bali ni ubabaishaji tu, wa kutegemea miujiza kwenye soka, bila mikakati madhubuti, kuna kipindi ambacho timu ya taifa inatunzwa kama miaka hii nini cha ajabu kilichoongezeka?!
Pesa kwanza, ndio ina facilitate mipango hiyo yote, kwa sasa pesa ipo , ila hakuna mipango inayoeleweka, na wachezaji wenyewe wako wapi?Tunaposema uwekezaj hatuishii kwenye pesa tu weled na mipango sahih inayotekelezeka nayo ni uwekezaj.