shimboni mene
JF-Expert Member
- Sep 11, 2022
- 264
- 290
Yaani hawa watoto wanatokana na mifumo isiyo na usawa katika nchi.
Nadhani hili swala silakuangalia kiuwepesi bali mzizi wake! Pia itabidi wanakutikana na rushwa maifisini wauawe, manesi wanaitukana mahosptal wauawe, madereva wanaokisea maksudi sheria za barabaran wauawe n.k
Ukikosa usawa katika kuongoza nchi tegemea vitu vya kipuuzi kama hivi kuibuka.
Yaani bibadamu mwenye njaa wakati abakuina we unashiba huku ukimibia rizki lazima akupopoe jiwe tu.
Tumekuwa na mfumo wa kuumiza sana yaani mtu abatembelea V8 ya mikion 400/500 huku vijana wakifukuzwa mabarabarani wakiuza pipi..inaumiza sana.
Justice is a virtue of giving what is due to another.. HAKI NI HEKIMA YA KUMPA MTU ANACHOSTAHILI..ukikosa JUSTICE tegemea kupata upuuzi kama huu.
Tukisha watokemeza hawa wahuni tuhakikishe tunaleta usawa katika jamii zetu na uzalendo lazima uwe ubiquitous siyo selective.
Juzi hapa Dodoma nilimuuliza Boss wangu mmoja kuwa kwanini tusitunie pick up tu hapa wizarani kulikoni hizi shangingi?
Jibu: Pick ups zinaumiza mgongo..niliondoka zangu area D kutoa tigo pesa ili niendelee kulipia mafuta ya BOSS eti BOSS very poor!