Ngumu sana kwa vikundi kama Panya Road kushamiri kwenye tawala za Mkono wa chuma

Vipi mkono wa chuma kwenye masuala ya ufisadi na matumizi ya Vietee??
Kwema Wakuu!

Kutawala Kwa Mkono wa chuma Kwa faida na hasara zake. Moja ya faida ya kutawala Kwa Mkono wa chuma ni nadra Sana kusikia vikundi vya kipuuzi kama sijui panyaroad sijui nini. Ni ngumu Sana!

Watu wenye akili za kimabavu kikawaida hawapendi kushughulika na ishu ndogondogo Kama hizo. Kiufupi hawapendi kupoteza muda na vitu vya kijinga.

Ni tamko Moja tuu kutoa tahadhari kuwa vikundi na watoto HAO waache mara Moja vinginevyo kitakachofuata ni Ghadhabu ambayo haitazingatia Haki za Binadamu.

Dawa ya ku-deal na vikundi vya namna hiyo ni Moja tuu ambayo ukishawapata wa mfano basi wengine wanajifunza.

Mtu Kama hafuati haki za Binadamu hakuna haya ya kumpa haki za Binadamu.
Jino Kwa jino.

Kama wazazi na walezi watapiga kelele nao wawekwe ndani hata mwezi Kwa kushindwa Kulea watoto wao na kuletea taifa matatizo.

Ni kawaida wahalifu kutumia sheria vibaya hasa zile zinazowalinda. Ndio maana watu wanaotawala Kwa Mkono wa chuma kamwe sheria hawazizingatii Sana Kwa sababu huwezi zingatia sheria Kwa watu wasiozingatia sheria Kwa makusudi wakitegemea sheria hizo adhabu zake ni ndogo.

Hata NYUMBANI, Baba asipokuwa Anaongoza familia Kwa upole upole ni rahisi watoto kuharibika, lakini Baba akiwa mkora lazima familia inyooke. Yaani Kwa hiyari au Kwa lazima, watachagua wenyewe wanatakaje. Huwezi leta sheria za demokrasia katika nchi ya watu wajinga na watu Masikini Hilo nilishasemaga.

Hata hivyo, Watawala wanayohaja ya kuangalia namna watoavyo hukumu kulingana na Nia ya mkosaji au mtu anayetofautiana na Nchi. Kama ni Nia nzuri basi itajulikana lakini Kwa upande wa panya road au vitu vya namna hiyo kimsingi hapo ni Shaba.

Mtu Kama hataki mtoto wake asipigwe Shaba basi amfundishe vizuri. Au amwambie afanyie upanyaroad wake Kwa Baba au Mama yake. Akifanyia wengine aliwe kichwa. Wakipatikana wa mfano tuu hata watatu tuu. Huwezi sikia huo ujinga.

Ukatekate wenzako alafu ukikamatwa ATI haki zako zizingatiwe[emoji3][emoji3] labda watakaokukamata ni Baba zako.

Yaani Ukate wake na Watoto wa watu alafu uchekewe, embu kuweni serious kidogo.

Yaani uue watu alafu ati haki zako zizingatiwe, hizo sheria hata mbinguni hazijawahi kuwepo.

Mawazo haya ni Kwa wale wenye akili za mfumo wa Mkono wa chuma, wafuasi WA AZAZEL [emoji3][emoji3]

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Dar es salaam
 
Vipi kuhusu mafisadi na waliongia mikataba ya hovyo ya madini, gesi, miondombinu n.k?
Exactly, yaani ukatekate wenzio mapanga, halafu eti wewe haki za binadamu zizingatiwe, kwakweli hao panya rodi nikuwaua tu kwa wale wataothibitishwa.
 
Kesho yake utakuwa na mtoto kama huyo, ngoja tuone kama akipigwa shaba utafurahi kuwa UA maana naye ameua.

All in all, umeandika vizuri ila sweeping action/operations wataingia waliomo na wasiomo, kuzuia hilo unafanyaje?
Mtoto mshenzi wa nn km hatasikia mafundisho yangu acha achapwe tu risasi kuliko kukaa na mtoto anae sumbua jamii
 
Vipi kuhusu mafisadi?
Mimi nadhani uanzishwe Uzi maalumu was kuwataja hap Panya road na maeneo yao itasaidia Sana kuwabaini. Kwa polisi kuwaanzisha upepelezi hao washukiwa.

Binafsi nawa Nitatoa ushirikiano ktk hili.
 
Uko sahihi
Yaani hawa watoto wanatokana na mifumo isiyo na usawa katika nchi.

Nadhani hili swala silakuangalia kiuwepesi bali mzizi wake! Pia itabidi wanakutikana na rushwa maifisini wauawe, manesi wanaitukana mahosptal wauawe, madereva wanaokisea maksudi sheria za barabaran wauawe n.k

Ukikosa usawa katika kuongoza nchi tegemea vitu vya kipuuzi kama hivi kuibuka.

Yaani bibadamu mwenye njaa wakati abakuina we unashiba huku ukimibia rizki lazima akupopoe jiwe tu.

Tumekuwa na mfumo wa kuumiza sana yaani mtu abatembelea V8 ya mikion 400/500 huku vijana wakifukuzwa mabarabarani wakiuza pipi..inaumiza sana.

Justice is a virtue of giving what is due to another.. HAKI NI HEKIMA YA KUMPA MTU ANACHOSTAHILI..ukikosa JUSTICE tegemea kupata upuuzi kama huu.

Tukisha watokemeza hawa wahuni tuhakikishe tunaleta usawa katika jamii zetu na uzalendo lazima uwe ubiquitous siyo selective.

Juzi hapa Dodoma nilimuuliza Boss wangu mmoja kuwa kwanini tusitunie pick up tu hapa wizarani kulikoni hizi shangingi?

Jibu: Pick ups zinaumiza mgongo..niliondoka zangu area D kutoa tigo pesa ili niendelee kulipia mafuta ya BOSS eti BOSS very poor!
 
Katika hii michango yenu msisahu tatizo la overpopulation, idadi ya watu imekuwa kubwa sana.
 
Kwema Wakuu!

Kutawala Kwa Mkono wa chuma Kwa faida na hasara zake. Moja ya faida ya kutawala Kwa Mkono wa chuma ni nadra Sana kusikia vikundi vya kipuuzi kama sijui panyaroad sijui nini. Ni ngumu Sana!

Watu wenye akili za kimabavu kikawaida hawapendi kushughulika na ishu ndogondogo Kama hizo. Kiufupi hawapendi kupoteza muda na vitu vya kijinga.

Ni tamko Moja tuu kutoa tahadhari kuwa vikundi na watoto HAO waache mara Moja vinginevyo kitakachofuata ni Ghadhabu ambayo haitazingatia Haki za Binadamu.

Dawa ya ku-deal na vikundi vya namna hiyo ni Moja tuu ambayo ukishawapata wa mfano basi wengine wanajifunza.

Mtu Kama hafuati haki za Binadamu hakuna haya ya kumpa haki za Binadamu.
Jino Kwa jino.

Kama wazazi na walezi watapiga kelele nao wawekwe ndani hata mwezi Kwa kushindwa Kulea watoto wao na kuletea taifa matatizo.

Ni kawaida wahalifu kutumia sheria vibaya hasa zile zinazowalinda. Ndio maana watu wanaotawala Kwa Mkono wa chuma kamwe sheria hawazizingatii Sana Kwa sababu huwezi zingatia sheria Kwa watu wasiozingatia sheria Kwa makusudi wakitegemea sheria hizo adhabu zake ni ndogo.

Hata NYUMBANI, Baba asipokuwa Anaongoza familia Kwa upole upole ni rahisi watoto kuharibika, lakini Baba akiwa mkora lazima familia inyooke. Yaani Kwa hiyari au Kwa lazima, watachagua wenyewe wanatakaje. Huwezi leta sheria za demokrasia katika nchi ya watu wajinga na watu Masikini Hilo nilishasemaga.

Hata hivyo, Watawala wanayohaja ya kuangalia namna watoavyo hukumu kulingana na Nia ya mkosaji au mtu anayetofautiana na Nchi. Kama ni Nia nzuri basi itajulikana lakini Kwa upande wa panya road au vitu vya namna hiyo kimsingi hapo ni Shaba.

Mtu Kama hataki mtoto wake asipigwe Shaba basi amfundishe vizuri. Au amwambie afanyie upanyaroad wake Kwa Baba au Mama yake. Akifanyia wengine aliwe kichwa. Wakipatikana wa mfano tuu hata watatu tuu. Huwezi sikia huo ujinga.

Ukatekate wenzako alafu ukikamatwa ATI haki zako zizingatiwe[emoji3][emoji3] labda watakaokukamata ni Baba zako.

Yaani Ukate wake na Watoto wa watu alafu uchekewe, embu kuweni serious kidogo.

Yaani uue watu alafu ati haki zako zizingatiwe, hizo sheria hata mbinguni hazijawahi kuwepo.

Mawazo haya ni Kwa wale wenye akili za mfumo wa Mkono wa chuma, wafuasi WA AZAZEL [emoji3][emoji3]

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Dar es salaam
kimsingi hapo ni Shaba.🦾
 
Kama mnakumbuka enzi za kumi ndani kumi nje, sie tuloishi buguruni malapa miaka ya tisini,elfumbili, hao sijui panyaroad, sungusungu tu, walikuwa wanawatosha Sana hao
 
Kwa hiyo traffik barabarani ndio wanazuia panyaroad! Rahasha, tatixo hili ni la kiuchumi zaidi. Halina uhusiano na yrafik wsla sauti ya upole ya kiongozi.

Kushindwa kutatua tatizo maana yake ni low intelligence!
 
Back
Top Bottom