Ngumu sana kwa vikundi kama Panya Road kushamiri kwenye tawala za Mkono wa chuma

Kesho yake utakuwa na mtoto kama huyo, ngoja tuone kama akipigwa shaba utafurahi kuwa UA maana naye ameua.

All in all, umeandika vizuri ila sweeping action/operations wataingia waliomo na wasiomo, kuzuia hilo unafanyaje?
we ni kubw jinga hujielew , mtoto kuwa hivyo ni matokeo ya mzaz mpumbav aliyeshindwa kumpa mwelekeo mzur mtoto na kuacha mitaa imlee
 
KUTOKA 21​

14Lakini mtu akimshambulia mwenzake makusudi na kumwua kwa ujeuri, hata kama atakimbilia kwenye madhabahu, mtamtoa huko madhabahuni pangu na kumwua.
23Lakini kama yatakuwapo madhara mengine, basi, lazima amlipe uhai kwa uhai, 24 jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu, 25kuchomwa moto kwa kuchomwa moto, jeraha kwa jeraha, na pigo kwa pigo.
 
mama yako na baba yako ndio makubwa jinga. yamekuzaa wewe unatukana bila sababu. Kwanini umetoa lugha ya matusi? Andiko langu likuwa na tusi. Basi makubwa jinga ni mama yako na baba yako waliozaa takataka kama wewe. Wewe umelelewa kwenye mitaa, short of that usingelitoa matusi
 
Kuna haja ya sheria ya mtoto kufanyiwa marekebisho. Haiwezekani mtoto wa miaka 16 au 14 aue mtu kwa kumkatakata mapanga halafu ahukumiwe kama mtoto.
 
KUTOKA 21​

14Lakini mtu akimshambulia mwenzake makusudi na kumwua kwa ujeuri, hata kama atakimbilia kwenye madhabahu, mtamtoa huko madhabahuni pangu na kumwua.
23Lakini kama yatakuwapo madhara mengine, basi, lazima amlipe uhai kwa uhai, 24 jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu, 25kuchomwa moto kwa kuchomwa moto, jeraha kwa jeraha, na pigo kwa pigo.
Duuu!
 
Aoshwe na mapanga na yeye.. muoshwa uoshwa hakuna kucheka nao hawa watoto tushawachoka
 
KUTOKA 21​

14Lakini mtu akimshambulia mwenzake makusudi na kumwua kwa ujeuri, hata kama atakimbilia kwenye madhabahu, mtamtoa huko madhabahuni pangu na kumwua.
23Lakini kama yatakuwapo madhara mengine, basi, lazima amlipe uhai kwa uhai, 24 jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu, 25kuchomwa moto kwa kuchomwa moto, jeraha kwa jeraha, na pigo kwa pigo.

Hawa watu wa Haki za Binadamu watakuambia sheria hizi zimepitwa na wakati.
 
Kwema Wakuu!

Kutawala Kwa Mkono wa chuma Kwa faida na hasara zake. Moja ya faida ya kutawala Kwa Mkono wa chuma ni nadra Sana kusikia vikundi vya kipuuzi kama sijui panyaroad sijui nini. Ni ngumu Sana!

Watu wenye akili za kimabavu kikawaida hawapendi kushughulika na ishu ndogondogo Kama hizo. Kiufupi hawapendi kupoteza muda na vitu vya kijinga.

Ni tamko Moja tuu kutoa tahadhari kuwa vikundi na watoto HAO waache mara Moja vinginevyo kitakachofuata ni Ghadhabu ambayo haitazingatia Haki za Binadamu.

Dawa ya ku-deal na vikundi vya namna hiyo ni Moja tuu ambayo ukishawapata wa mfano basi wengine wanajifunza.

Mtu Kama hafuati haki za Binadamu hakuna haya ya kumpa haki za Binadamu.
Jino Kwa jino.

Kama wazazi na walezi watapiga kelele nao wawekwe ndani hata mwezi Kwa kushindwa Kulea watoto wao na kuletea taifa matatizo.

Ni kawaida wahalifu kutumia sheria vibaya hasa zile zinazowalinda. Ndio maana watu wanaotawala Kwa Mkono wa chuma kamwe sheria hawazizingatii Sana Kwa sababu huwezi zingatia sheria Kwa watu wasiozingatia sheria Kwa makusudi wakitegemea sheria hizo adhabu zake ni ndogo.

Hata NYUMBANI, Baba asipokuwa Anaongoza familia Kwa upole upole ni rahisi watoto kuharibika, lakini Baba akiwa mkora lazima familia inyooke. Yaani Kwa hiyari au Kwa lazima, watachagua wenyewe wanatakaje. Huwezi leta sheria za demokrasia katika nchi ya watu wajinga na watu Masikini Hilo nilishasemaga.

Hata hivyo, Watawala wanayohaja ya kuangalia namna watoavyo hukumu kulingana na Nia ya mkosaji au mtu anayetofautiana na Nchi. Kama ni Nia nzuri basi itajulikana lakini Kwa upande wa panya road au vitu vya namna hiyo kimsingi hapo ni Shaba.

Mtu Kama hataki mtoto wake asipigwe Shaba basi amfundishe vizuri. Au amwambie afanyie upanyaroad wake Kwa Baba au Mama yake. Akifanyia wengine aliwe kichwa. Wakipatikana wa mfano tuu hata watatu tuu. Huwezi sikia huo ujinga.

Ukatekate wenzako alafu ukikamatwa ATI haki zako zizingatiwe[emoji3][emoji3] labda watakaokukamata ni Baba zako.

Yaani Ukate wake na Watoto wa watu alafu uchekewe, embu kuweni serious kidogo.

Yaani uue watu alafu ati haki zako zizingatiwe, hizo sheria hata mbinguni hazijawahi kuwepo.

Mawazo haya ni Kwa wale wenye akili za mfumo wa Mkono wa chuma, wafuasi WA AZAZEL [emoji3][emoji3]

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Dar es salaam
Kwa wenyeji wa mwanza mitaa ya mbugani,mbatini mpka nyashana watakuwa na ushahidi hawa wahuni walivoshugulikiwa.

Miaka 2017 ulianza msako wa wezi na vibaka wa kimya kimya uliokuwa ukifanywa na polisi ukikamatwa unapelekwa kigoto unaenda kuzimu na hakuna mjadala..kuna vijana wezi tunaowafahamu wengi walishahama na waliokamatwa hawapo gerezani na hawajulikani walipo ila inasemekena walipigwa risas na pilisi baada ya kukamatwa
 
Kwema Wakuu!

Kutawala Kwa Mkono wa chuma Kwa faida na hasara zake. Moja ya faida ya kutawala Kwa Mkono wa chuma ni nadra Sana kusikia vikundi vya kipuuzi kama sijui panyaroad sijui nini. Ni ngumu Sana!

Watu wenye akili za kimabavu kikawaida hawapendi kushughulika na ishu ndogondogo Kama hizo. Kiufupi hawapendi kupoteza muda na vitu vya kijinga.

Ni tamko Moja tuu kutoa tahadhari kuwa vikundi na watoto HAO waache mara Moja vinginevyo kitakachofuata ni Ghadhabu ambayo haitazingatia Haki za Binadamu.

Dawa ya ku-deal na vikundi vya namna hiyo ni Moja tuu ambayo ukishawapata wa mfano basi wengine wanajifunza.

Mtu Kama hafuati haki za Binadamu hakuna haya ya kumpa haki za Binadamu.
Jino Kwa jino.

Kama wazazi na walezi watapiga kelele nao wawekwe ndani hata mwezi Kwa kushindwa Kulea watoto wao na kuletea taifa matatizo.

Ni kawaida wahalifu kutumia sheria vibaya hasa zile zinazowalinda. Ndio maana watu wanaotawala Kwa Mkono wa chuma kamwe sheria hawazizingatii Sana Kwa sababu huwezi zingatia sheria Kwa watu wasiozingatia sheria Kwa makusudi wakitegemea sheria hizo adhabu zake ni ndogo.

Hata NYUMBANI, Baba asipokuwa Anaongoza familia Kwa upole upole ni rahisi watoto kuharibika, lakini Baba akiwa mkora lazima familia inyooke. Yaani Kwa hiyari au Kwa lazima, watachagua wenyewe wanatakaje. Huwezi leta sheria za demokrasia katika nchi ya watu wajinga na watu Masikini Hilo nilishasemaga.

Hata hivyo, Watawala wanayohaja ya kuangalia namna watoavyo hukumu kulingana na Nia ya mkosaji au mtu anayetofautiana na Nchi. Kama ni Nia nzuri basi itajulikana lakini Kwa upande wa panya road au vitu vya namna hiyo kimsingi hapo ni Shaba.

Mtu Kama hataki mtoto wake asipigwe Shaba basi amfundishe vizuri. Au amwambie afanyie upanyaroad wake Kwa Baba au Mama yake. Akifanyia wengine aliwe kichwa. Wakipatikana wa mfano tuu hata watatu tuu. Huwezi sikia huo ujinga.

Ukatekate wenzako alafu ukikamatwa ATI haki zako zizingatiwe[emoji3][emoji3] labda watakaokukamata ni Baba zako.

Yaani Ukate wake na Watoto wa watu alafu uchekewe, embu kuweni serious kidogo.

Yaani uue watu alafu ati haki zako zizingatiwe, hizo sheria hata mbinguni hazijawahi kuwepo.

Mawazo haya ni Kwa wale wenye akili za mfumo wa Mkono wa chuma, wafuasi WA AZAZEL [emoji3][emoji3]

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Dar es salaam
Q Leo umeandika vzr na umesomeka vyema Ni sahih Sana wezi na panya road siyo watu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hawa watu wa Haki za Binadamu watakuambia sheria hizi zimepitwa na wakati.
Wanatumia samehe 7 mara 70
Wakati Hata Masihi alisema hajaja kuitangua torati..
Kuna mambo bila kuonyesha mfano yatatuathiri sana
 
wakishawakamata wakawapiga chuma pia waangalie kwa mapana elimu ya ufundi na ujasiriamali pamoja na namna ya kustawisha upatikanaji wa ajira hasa kwa vijana.
panya road sio wakuchekea ni wa kiwasaga kabisa wawe vumbi.
 
Ni swala la intelligence na siyo sijui mkono wa Chuma, sasa wewe Kiongozi anaagiza Polisi waondolewe barabarani hiyo ni akili au matope?

Mwanzoni hakukuwa na panya road sababu ya intelligence, ambayo haipo leo hii.

Ni swala la IQ, tu, kama haipo kila kitu kinalega lega, vilio kila mahali, inefficiency kila pahali, kila kitu ni substandard.

Tanzania tusipofwata meritocracy kila siku tutaishia kuzika na kulemaa mpaka siku ikukute na itakukuta endeleeni kusifia lkn soon madhara ya incompetence yatakufikia na kukudhuru, aidha lori linaloendesha na mlevi litakubamiza ndani v8 yako huku umefunga kiyoo na kiyoyozi au Panya road watakubaka live nyumbani mbele ya mke na watoto wako, ni swala la muda tu, …
Kwa hiyo traffik barabarani ndio wanazuia panyaroad! Rahasha, tatixo hili ni la kiuchumi zaidi. Halina uhusiano na yrafik wsla sauti ya upole ya kiongozi.
 
Kwema Wakuu!

Kutawala Kwa Mkono wa chuma Kwa faida na hasara zake. Moja ya faida ya kutawala Kwa Mkono wa chuma ni nadra Sana kusikia vikundi vya kipuuzi kama sijui panyaroad sijui nini. Ni ngumu Sana!

Watu wenye akili za kimabavu kikawaida hawapendi kushughulika na ishu ndogondogo Kama hizo. Kiufupi hawapendi kupoteza muda na vitu vya kijinga.

Ni tamko Moja tuu kutoa tahadhari kuwa vikundi na watoto HAO waache mara Moja vinginevyo kitakachofuata ni Ghadhabu ambayo haitazingatia Haki za Binadamu.

Dawa ya ku-deal na vikundi vya namna hiyo ni Moja tuu ambayo ukishawapata wa mfano basi wengine wanajifunza.

Mtu Kama hafuati haki za Binadamu hakuna haya ya kumpa haki za Binadamu.
Jino Kwa jino.

Kama wazazi na walezi watapiga kelele nao wawekwe ndani hata mwezi Kwa kushindwa Kulea watoto wao na kuletea taifa matatizo.

Ni kawaida wahalifu kutumia sheria vibaya hasa zile zinazowalinda. Ndio maana watu wanaotawala Kwa Mkono wa chuma kamwe sheria hawazizingatii Sana Kwa sababu huwezi zingatia sheria Kwa watu wasiozingatia sheria Kwa makusudi wakitegemea sheria hizo adhabu zake ni ndogo.

Hata NYUMBANI, Baba asipokuwa Anaongoza familia Kwa upole upole ni rahisi watoto kuharibika, lakini Baba akiwa mkora lazima familia inyooke. Yaani Kwa hiyari au Kwa lazima, watachagua wenyewe wanatakaje. Huwezi leta sheria za demokrasia katika nchi ya watu wajinga na watu Masikini Hilo nilishasemaga.

Hata hivyo, Watawala wanayohaja ya kuangalia namna watoavyo hukumu kulingana na Nia ya mkosaji au mtu anayetofautiana na Nchi. Kama ni Nia nzuri basi itajulikana lakini Kwa upande wa panya road au vitu vya namna hiyo kimsingi hapo ni Shaba.

Mtu Kama hataki mtoto wake asipigwe Shaba basi amfundishe vizuri. Au amwambie afanyie upanyaroad wake Kwa Baba au Mama yake. Akifanyia wengine aliwe kichwa. Wakipatikana wa mfano tuu hata watatu tuu. Huwezi sikia huo ujinga.

Ukatekate wenzako alafu ukikamatwa ATI haki zako zizingatiwe[emoji3][emoji3] labda watakaokukamata ni Baba zako.

Yaani Ukate wake na Watoto wa watu alafu uchekewe, embu kuweni serious kidogo.

Yaani uue watu alafu ati haki zako zizingatiwe, hizo sheria hata mbinguni hazijawahi kuwepo.

Mawazo haya ni Kwa wale wenye akili za mfumo wa Mkono wa chuma, wafuasi WA AZAZEL [emoji3][emoji3]

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Dar es salaam
Subiri wapeleleze kwanza wakimaliza upelelezi ndiyo wawakamate
 
Watolewe mfano hata watano hivi,
Wapigwe Shaba mbele za wazazi wao mbona hii Hali itaisha Kwa miongo kadhaa
Operation kama hizi zinafanyikaga kmya kmya
Tena hao viongozi sahvi hawatakiwi
Kuzungumza kwenye media,wapige kimya kimya tu...utaona matokeo yake

Ova
 
Kesho yake utakuwa na mtoto kama huyo, ngoja tuone kama akipigwa shaba utafurahi kuwa UA maana naye ameua.

All in all, umeandika vizuri ila sweeping action/operations wataingia waliomo na wasiomo, kuzuia hilo unafanyaje?
Umeanza vzr,mwisho umeharibu
 
Back
Top Bottom