Ngumu sana kwa vikundi kama Panya Road kushamiri kwenye tawala za Mkono wa chuma

Yaani hawa watoto wanatokana na mifumo isiyo na usawa katika nchi.

Nadhani hili swala silakuangalia kiuwepesi bali mzizi wake! Pia itabidi wanakutikana na rushwa maifisini wauawe, manesi wanaitukana mahosptal wauawe, madereva wanaokisea maksudi sheria za barabaran wauawe n.k

Ukikosa usawa katika kuongoza nchi tegemea vitu vya kipuuzi kama hivi kuibuka.

Yaani bibadamu mwenye njaa wakati abakuina we unashiba huku ukimibia rizki lazima akupopoe jiwe tu.

Tumekuwa na mfumo wa kuumiza sana yaani mtu abatembelea V8 ya mikion 400/500 huku vijana wakifukuzwa mabarabarani wakiuza pipi..inaumiza sana.

Justice is a virtue of giving what is due to another.. HAKI NI HEKIMA YA KUMPA MTU ANACHOSTAHILI..ukikosa JUSTICE tegemea kupata upuuzi kama huu.

Tukisha watokemeza hawa wahuni tuhakikishe tunaleta usawa katika jamii zetu na uzalendo lazima uwe ubiquitous siyo selective.

Juzi hapa Dodoma nilimuuliza Boss wangu mmoja kuwa kwanini tusitunie pick up tu hapa wizarani kulikoni hizi shangingi?

Jibu: Pick ups zinaumiza mgongo..niliondoka zangu area D kutoa tigo pesa ili niendelee kulipia mafuta ya BOSS eti BOSS very poor!
 
Waziri w mambo ya ndani Hadi sasa amekalia kiti Cha uwaziri,

Mkuu wa Mkoa Bado yupo Ofisini,

RPC na DED Bado wanaendesha magari ya Serikali.

Hii inawezekana Nchi za kiafrica pekee.
 
Si wa kuchemewa hata kidogo hawa watoto.
 
Naunga mkono hoja
 
Kwamba unahamasisha Sheria na Katiba viwekwe pembeni, POLISI waruhusiwe kuua bila ushahidi!!!! POLISI uchunguzi wao itoshe na kuwa ushahidi wa kutosha mtu kuuwawa??


Ama Kweli ndani ya JAMII Pana WAUWAJI wengi kuliko MAGEREZANI .

Watauaje bila ushahidi MKUU.

Panyaroad wanajulikana mbona.
Ni vile tuu watu Kwa unafiki wanaacha aidha Kwa huruma au undugu, au maslahi binafsi.

Ukiishi Maeneo yenye panyaroad mbona wanajulikana Kwa Majina, Sura zao, mama zao, ndugu zao.
 
Kesho yake utakuwa na mtoto kama huyo, ngoja tuone kama akipigwa shaba utafurahi kuwa UA maana naye ameua.....

All in all, umeandika vizuri ila sweeping action/operations wataingia waliomo na wasiomo, kuzuia hilo unafanyaje?
No way out. Kwani sasa hivi si wanaumizwa wasiokuamo. Hakuna dawa isiokuwa na side effect
 
No way out. Kwani sasa hivi si wanaumizwa wasiokuamo. Hakuna dawa isiokuwa na side effect
Mimi sikuuingi mkono! suppose it were you caught in the operation web while coming from the shop?
 
Watauaje bila ushahidi MKUU.

Panyaroad wanajulikana mbona.
Ni vile tuu watu Kwa unafiki wanaacha aidha Kwa huruma au undugu, au maslahi binafsi.

Ukiishi Maeneo yenye panyaroad mbona wanajulikana Kwa Majina, Sura zao, mama zao, ndugu zao.
POLISI kikatiba wamepewa mamlaka ya kupeleleza pekee na kuleta ushahidi mahakamani.

Hawakupewa mamlaka ya kutoa HUKUMU Bali ni Mahakama.

Hata mahakama Duniani kote wanapingwa kuhukumu KIFO mwanadamu, sababu inaingilia HAKI ya kuishi kikatiba.

Operation nyingi walizofanya POLISI, nyingi walikosea na kuua watu bila hatia, au kubambikiza KESI Kwa wasohusika Hasa wa KISIASA.

Viongozi wasimamie doria na kuzuia uhalifu, wakishindwa wafukuzwe KAZI, wasiruhusiwe kuua Raia, Nchi iongozwe Kwa kufuta Sheria na HAKI.

Ameeeen.
 
Mimi nilishasema wakikamatwa woote wakatwe miguu mchezo umeisha...
 

Nchi iongozwe Kwa sheria Kwa jamii yenye Elimu ya kutosha na sio Kwa watu wajinga.

Watu wajinga ili uwaongoze utapaswa uongoze Kwa Mkono wa chuma.

Ukielewa hili utaelewa ni Kwa nini Demokrasia haiwafai Waafrika Kwa sasa
 
" Mkalishughulikie hilo" anaweza kutoa maamuzi kweli??? Kweli bongo imepigwa na kitu kizito, nchi ina ombwe la viongozi.
 
Mimi nilishasema wakikamatwa woote wakatwe miguu mchezo umeisha...
Bt wasiuwawe.

Wanaotutoza TOZO na kutuibia pesa kwenye account zetu walihitaji Adhabu Kali Sema tu ni ngumu kuwafikia.

Wazazi na JAMII wawajibike kulea watoto wao, wazazi wasikimbie familia, wasiwape pombe watoto, wawahimize kusali, waache Pombe,wasiwatume sugar watoto nk.

Tufuate Sheria Ili Mungu asitupige Kwa mapigo makuu.

Ameeeen
 
Kesho yake utakuwa na mtoto kama huyo, ngoja tuone kama akipigwa shaba utafurahi kuwa UA maana naye ameua.....

All in all, umeandika vizuri ila sweeping action/operations wataingia waliomo na wasiomo, kuzuia hilo unafanyaje?
Hata kama ni mwanangu Bora auwawe maana kuniua hata Mimi ili aniibie au awahi urithi mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sisi wenye nao unaomba Mungu akuepushe........ mengine kuwa akiniibia nitamuua , sijui.....Mungu epusha..sijui kama nitamuua akiniibia. Mungu nijalie
JAMII inawapa POLISI wakati mgumu sana.

Mara nyingi yakiwafika shingoni mnawaruhusu wauwe!!!

Wakizoea hiyo TABIA na kuwagusa kisiasa mapovu yanawatoka mkiwaambia "ACHA๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ ".
 
JAMII inawapa POLISI wakati mgumu sana.

Mara nyingi yakiwafika shingoni mnawaruhusu wauwe!!!

Wakizoea hiyo TABIA na kuwagusa kisiasa mapovu yanawatoka mkiwaambia "ACHA๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ ".
sijakuelewa
 
Kesho yake utakuwa na mtoto kama huyo, ngoja tuone kama akipigwa shaba utafurahi kuwa UA maana naye ameua.....

All in all, umeandika vizuri ila sweeping action/operations wataingia waliomo na wasiomo, kuzuia hilo unafanyaje?
Toto linaloniulia majirani shaba nalipiga mwenyewe maana likimaliza huko litaamia kwa ndugu zake wa mbali kisha ndugu wa damu.
 
sijakuelewa
Saizi baada ya Panya road kuua raia wengi wa wananchi wanasupport POLISI wawaue hao watoto.

Wakati njia sahihi ni kuwauliza POLISI kwann hawafanyi doria mitaani au kuhakikisha mifumo imara ya kiulinzi na kiusalama inaimarika ktk JAMII.

Ilikuwa ni wakati sahihi wa JAMII kushinikiza IGP, waziri wa Ulinzi KUJIUZULU, RPC na DED husika.

POLISI wasipewe RUHUSA kuua raia, wachunguze na kuiachia mahakama Kutoa HUKUMU.

Sijui umenielewa???
 
Ni swala la intelligence na siyo sijui mkono wa Chuma, sasa wewe Kiongozi anaagiza Polisi waondolewe barabarani hiyo ni akili au matope?

Mwanzoni hakukuwa na panya road sababu ya intelligence, ambayo haipo leo hii.

Ni swala la IQ, tu, kama haipo kila kitu kinalega lega, vilio kila mahali, inefficiency kila pahali, kila kitu ni substandard.

Tanzania tusipofwata meritocracy kila siku tutaishia kuzika na kulemaa mpaka siku ikukute na itakukuta endeleeni kusifia lkn soon madhara ya incompetence yatakufikia na kukudhuru, aidha lori linaloendesha na mlevi litakubamiza ndani v8 yako huku umefunga kiyoo na kiyoyozi au Panya road watakubaka live nyumbani mbele ya mke na watoto wako, ni swala la muda tu, โ€ฆ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ