Nguo ya kuazima/ kukodi/ sikuzote haistili mwili

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Kumekua na makelele ya fijo pamoja na ndelemo za kuimba nakumsifu Jean baleke, Kama hufatilii mpira unaweza kudhani baleke kafunga magoli miambili la hasha Bali kaonyesha uwezo kidogo hata robo ya meddi kagere enzi zake hajafika kiwango Cha mwamba mk 14.

Babu yangu mzee NGWENA /WAHENGA walisema "nguo ya kuazima haistili mwili " nakubali kabisa huu msemo bila pingamizi.

Unaacha kusifu midabwada yako uliyoinunua karume/ mtumbani sagula sagula/ nguo za mafungu kwa buku jero unapata midabwada ya kutosha takiribani kumi kwa buku jero.

Inakuaje badala yakusifu mitumba yako ya Bei Chee unakuja kusifu suti ya kuazima kwa jirani Tena unatamba nayo na kudunda/unachekelea kwa madaha nakujiona wewe ndiyo kila kitu.

Hii inachekesha sana, Tena mpaka jirani aliyekuazima suti yake anakukumbusha kabisa kuwa "suti niliyokuazima ni suti yangu halali kabisa"
Kutokana na ujua ulio nao/ umbumbumbu unafurahi kwenda huku na huko ukiinadi kuwa suti yako ni "the talk of the Town' unasema kuwa suti yako ni "goal machine"

Nataka nione mzamiru,john bocco,Sawadogo,kapama, kibu Denis, na wachezaji wengine wakiimbwa na mashabiki wa Simba kwa vifijo na nderemo nyingi maana hao ndiyo wachezaji wetu tuliowasajiri kwa pesa zetu lakini Jean baleke kaja kwa mkopo kaja kupambana ili apate namba huko alikotolewa baada ya kuonekana kuwa kiwango kimeshuka.

Tukubali tukatae sikuzote nguo yakuazima haistili mwili, mwenye nayo akiichukua unabaki na midabwada yako kutoka karume, hii midabwada lazima ujivunie nayo na ulinge nayo maana ni vya kwako.
 

Ndugu yangu nalia[emoji28]
 
Wewe jinga unamfananishaje baleke na mk14 aliyecheza misimu mingi Tz mpaka sasa wakati baleke kaja hajafikisha hata miezi 4
Ficha ujinga wako ukichukia njoo tuzichape
Kipindi anaingia medii kagere unadhani huyo mnayemsifu Kama mungu kafikia hata robo
 
Wewe jinga unamfananishaje baleke na mk14 aliyecheza misimu mingi Tz mpaka sasa wakati baleke kaja hajafikisha hata miezi 4
Ficha ujinga wako ukichukia njoo tuzichape
Mimi siwezi kukupiga utapigwa na kitu kizito Tar 19/4 hautoamini katika maisha yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…