Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,824
- 2,445
Mimi mwenyewe yanga ila baleke anajua tuache ushabiki maandazi 😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga haina mashabiki mbumbumbu Kama weweMimi mwenyewe yanga ila baleke anajua tuache ushabiki maandazi [emoji16][emoji16]
Njoo ushuhudie kandanda swafi moyo unapenda utakubali mzikkHaikatazwi watukupeana matumaini.
Pambaneni na Kagera kwanzA..
Sawa ngj tuanze na hii kwanzA tareh16 badoNjoo ushuhudie kandanda swafi moyo unapenda utakubali mzikk
Mm yanga na shabiki ninaejua mpira na sio shabiki oya oya kila kitu twende 😂 😂Yanga haina mashabiki mbumbumbu Kama wewe
Hakuna kitu Kama hicho usiwakatae makolo wenzio hadharaniMm yanga na shabiki ninaejua mpira na sio shabiki oya oya kila kitu twende [emoji23] [emoji23]
Akili yako imeyumba kumbe. Elewa mwenye nyumba hana matumizi na chumba mpk mkataba uishe. Point ni kwamba kwa sasa baleke ana kazi mbili tu. Moja kuwafurahisha wana simba na nyingine kuwaudhi kweli kweli wana utopolo. Mazembe hausiki kwa sasa.Kwa hiyo nyumba uliyopanga unaweza ukajisigia nakuimba huko mitaani "this is my house"
Kama unafanyaga hivyo mkuu hongera sana.
Hakuna shabiki wa yanga mbumbumbu kama wewwMi pamoja na unazi wangu wa yanga ila hapa nna hofu na hili jitu,...nlinafunga kwa kutumia tools zote..si kichwa Wala miguu yote ...linajipigia tu...kwa kwl tareh 16 sijui Nini kitatutokea
Ulichobarikiwa ni matusi ila hata Mimi naamini yanga hatunq shabiki choko kama weweHakuna shabiki wa yanga mbumbumbu kama weww
Asante sana kwa maoni yako afande wa zenji [emoji41]Ulichobarikiwa ni matusi ila hata Mimi naamini yanga hatunq shabiki choko kama wewe
Pamoja sanà James DelciousAsante sana kwa maoni yako afande wa zenji [emoji41]
Kweli kabisa rage ajengewe sanamu pale katikati ya kariakoo.Wenye akili wawili tu
Hakiyamungu unadharirika aiseeJamaa alimuazima gari mlokole afuate issue yake, alipita bar ili atulize kiu. Mlokole akaona gari yake imepark bar, kaingia na kumkanya jamaa mbele za watu " gari yangu sio ya kunywea pombe" ona sasa kitu cha kuazima.
Hausiki vipi Sasa kwa hiyo baleke ni mchezaji wenu Kama alivyokua Moses phiri?Akili yako imeyumba kumbe. Elewa mwenye nyumba hana matumizi na chumba mpk mkataba uishe. Point ni kwamba kwa sasa baleke ana kazi mbili tu. Moja kuwafurahisha wana simba na nyingine kuwaudhi kweli kweli wana utopolo. Mazembe hausiki kwa sasa.
Wewe unaonaje ?Umekuja tubishane kwa hoja au umekuja tufanyaje ?
Kila unavyojitahidi kuandika nyuzi nyingi kuiponda Simba ili uonekane unajua sana mchezo wa mpira ndiyo unavyojivua nguo kuwa wewe ni mshamba na limbukeni wa huu mchezo na mshabiki oya oya tu. Unawaaibisha hata wana Yanga wenzako wenye kujitambua kwa mada zako za kijinga.Kumekua na makelele ya fijo pamoja na ndelemo za kuimba nakumsifu Jean baleke, Kama hufatilii mpira unaweza kudhani baleke kafunga magoli miambili la hasha Bali kaonyesha uwezo kidogo hata robo ya meddi kagere enzi zake hajafika kiwango Cha mwamba mk 14.
Babu yangu mzee NGWENA /WAHENGA walisema "nguo ya kuazima haistili mwili " nakubali kabisa huu msemo bila pingamizi.
Unaacha kusifu midabwada yako uliyoinunua karume/ mtumbani sagula sagula/ nguo za mafungu kwa buku jero unapata midabwada ya kutosha takiribani kumi kwa buku jero.
Inakuaje badala yakusifu mitumba yako ya Bei Chee unakuja kusifu suti ya kuazima kwa jirani Tena unatamba nayo na kudunda/unachekelea kwa madaha nakujiona wewe ndiyo kila kitu.
Hii inachekesha sana, Tena mpaka jirani aliyekuazima suti yake anakukumbusha kabisa kuwa "suti niliyokuazima ni suti yangu halali kabisa"
Kutokana na ujua ulio nao/ umbumbumbu unafurahi kwenda huku na huko ukiinadi kuwa suti yako ni "the talk of the Town' unasema kuwa suti yako ni "goal machine"
Nataka nione mzamiru,john bocco,Sawadogo,kapama, kibu Denis, na wachezaji wengine wakiimbwa na mashabiki wa Simba kwa vifijo na nderemo nyingi maana hao ndiyo wachezaji wetu tuliowasajiri kwa pesa zetu lakini Jean baleke kaja kwa mkopo kaja kupambana ili apate namba huko alikotolewa baada ya kuonekana kuwa kiwango kimeshuka.
Tukubali tukatae sikuzote nguo yakuazima haistili mwili, mwenye nayo akiichukua unabaki na midabwada yako kutoka karume, hii midabwada lazima ujivunie nayo na ulinge nayo maana ni vya kwako.