Nguo ya kuazima/ kukodi/ sikuzote haistili mwili

Nguo ya kuazima/ kukodi/ sikuzote haistili mwili

Leta taarifa genuine siyo unashiba mataptap inakuja kuandika humu.

Tuweke mkataba hapa, uliousoma ukajiridhisha Ni nguo ya kuazima.

Pili utuambie yuko pale Simba Kufanya Nini.

Great thinkers wanajua mbumbumbu Ni Nani Kati yako na mm. Wanajua!

Kuna wakati Ni Raha kubishana kidogo na mpumbavu! Kidogo TU!

Zuzu karibu, mwaga hoja. Km huna sepa kimyakimya!
Afande wa zenji katika ubora wako, mtu mwenye evidence huwa hatishii hata siku moja kwa hiyo unachokifanya ni upopoma tu Waheed [emoji41]
 
Afande wa zenji katika ubora wako, mtu mwenye evidence huwa hatishii hata siku moja kwa hiyo unachokifanya ni upopoma tu Waheed [emoji41]
Nshakudharau kitambo mbona!

Sibishani Mara 2 na myu ambae NAJUA Hana hoja. Ili iweje!

Ushafika Zenji, una ushahidi wa kutosha kuhusu afande wa Zenji.

Inaweza kutuambia huyo afande alifanyaje!

Km huna hoja sepa kimyakimya!
 
Unajua maana ya hoja wew?? Kama ungejua maana ya hoja ungekuja za hoja zako juu ili kuprove kuwa nilichokizungumza ni dhahiri ni uongo

Ushakunywa ulanzi unakuja kurusha maneno Kama unaimba taarabu.
 
Unajua maana ya hoja wew?? Kama ungejua maana ya hoja ungekuja za hoja zako juu ili kuprove kuwa nilichokizungumza ni dhahiri ni uongo

Ushakunywa ulanzi unakuja kurusha maneno Kama unaimba taarabu.
Siko hapa kukufundisha Niko hapa kuthibitisha wewe mwenyewe ulichoandika.

Kuna wasiojua Kwamba baleke Ni mkopo au au kaa, pengine na mm Ni mmoja wao, so nishibishe kwa facts ili nione umeandika kitu genuine.

Leta reference za hoja yako.Wajibika!

Kam huna facts sepa kimyakimya.
 
Baleke yuko Sana Simba.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kapama huyu aliepoteza viungo wote wa uto?
 
Back
Top Bottom