Nguo ya kuazima/ kukodi/ sikuzote haistili mwili

Mi pamoja na unazi wangu wa yanga ila hapa nna hofu na hili jitu,...nlinafunga kwa kutumia tools zote..si kichwa Wala miguu yote ...linajipigia tu...kwa kwl tareh 16 sijui Nini kitatutokea
 
Kwa hiyo nyumba uliyopanga unaweza ukajisigia nakuimba huko mitaani "this is my house"

Kama unafanyaga hivyo mkuu hongera sana.
Akili yako imeyumba kumbe. Elewa mwenye nyumba hana matumizi na chumba mpk mkataba uishe. Point ni kwamba kwa sasa baleke ana kazi mbili tu. Moja kuwafurahisha wana simba na nyingine kuwaudhi kweli kweli wana utopolo. Mazembe hausiki kwa sasa.
 
Mi pamoja na unazi wangu wa yanga ila hapa nna hofu na hili jitu,...nlinafunga kwa kutumia tools zote..si kichwa Wala miguu yote ...linajipigia tu...kwa kwl tareh 16 sijui Nini kitatutokea
Hakuna shabiki wa yanga mbumbumbu kama weww
 
Jamaa alimuazima gari mlokole afuate issue yake, alipita bar ili atulize kiu. Mlokole akaona gari yake imepark bar, kaingia na kumkanya jamaa mbele za watu " gari yangu sio ya kunywea pombe" ona sasa kitu cha kuazima.
Hakiyamungu unadharirika aisee
 
Akili yako imeyumba kumbe. Elewa mwenye nyumba hana matumizi na chumba mpk mkataba uishe. Point ni kwamba kwa sasa baleke ana kazi mbili tu. Moja kuwafurahisha wana simba na nyingine kuwaudhi kweli kweli wana utopolo. Mazembe hausiki kwa sasa.
Hausiki vipi Sasa kwa hiyo baleke ni mchezaji wenu Kama alivyokua Moses phiri?
Acha ugalagaja sifia wachezaji wako wakina Sawadogo na kapama kuliko kupamba kitu ambacho keshokutwa hakipo.
 
Kila unavyojitahidi kuandika nyuzi nyingi kuiponda Simba ili uonekane unajua sana mchezo wa mpira ndiyo unavyojivua nguo kuwa wewe ni mshamba na limbukeni wa huu mchezo na mshabiki oya oya tu. Unawaaibisha hata wana Yanga wenzako wenye kujitambua kwa mada zako za kijinga.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…