SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Weka twakwimu kusapoti hoja yako siyo u abwata tu kama teja mpiga debe kituoni anaitia abira wakati gari limeshaondoka kitambo hana habari.Kipindi anaingia medii kagere unadhani huyo mnayemsifu Kama mungu kafikia hata robo
Unaona ulivyo kilaza umeshamisha magoli unaleta mada nyingine kabisaMimi siwezi kukupiga utapigwa na kitu kizito Tar 19/4 hautoamini katika maisha yako.
Sasa Mimi na wewe Nani mbumbumbu?Unaona ulivyo kilaza umeshamisha magoli unaleta mada nyingine kabisa
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Wewe ni taahira kabisa na juu ya hayo ni afande wa ZenjiSasa Mimi na wewe Nani mbumbumbu?
Hii tarehe kuna tukio gani we POPOMA? Nyie fei si anawasitiri mwiliMimi siwezi kukupiga utapigwa na kitu kizito Tar 19/4 hautoamini katika maisha yako.
Tar 16/4 utajua tu Nini kitawatokea siku hiyo.Hii tarehe kuna tukio gani we POPOMA? Nyie fei si anawasitiri mwili
Mbona uliandika tar19Tar 16/4 utajua tu Nini kitawatokea siku hiyo.
BBC huwa wanakosea Mimi nimekua Nani nisikoseeMbona uliandika tar19
Punguza makasiriko mbumbumbu fcKila unavyojitahidi kuandika nyuzi nyingi kuiponda Simba ili uonekane unajua sana mchezo wa mpira ndiyo unavyojivua nguo kuwa wewe ni mshamba na limbukeni wa huu mchezo na mshabiki oya oya tu. Unawaaibisha hata wana Yanga wenzako wenye kujitambua kwa mada zako za kijinga.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Huu mchezo hautaki hasira.Wewe ni taahira kabisa na juu ya hayo ni afande wa Zenji
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Wanachotakiwa Simba ni kumsajili moja kwa moja maana Jean Baleke amekataa kuchezea tena TP Mazembe. Wasifanye kama walivyofanya kwa Manzoki kuwa Mgeni Mwalikwa siku ya uchaguzi. Kwa kweli kwa kiasi fulani ameipa uhai safu ya ushambuliaji ya Simba.Kumekua na makelele ya fijo pamoja na ndelemo za kuimba nakumsifu Jean baleke, Kama hufatilii mpira unaweza kudhani baleke kafunga magoli miambili la hasha Bali kaonyesha uwezo kidogo hata robo ya meddi kagere enzi zake hajafika kiwango Cha mwamba mk 14.
Babu yangu mzee NGWENA /WAHENGA walisema "nguo ya kuazima haistili mwili " nakubali kabisa huu msemo bila pingamizi.
Unaacha kusifu midabwada yako uliyoinunua karume/ mtumbani sagula sagula/ nguo za mafungu kwa buku jero unapata midabwada ya kutosha takiribani kumi kwa buku jero.
Inakuaje badala yakusifu mitumba yako ya Bei Chee unakuja kusifu suti ya kuazima kwa jirani Tena unatamba nayo na kudunda/unachekelea kwa madaha nakujiona wewe ndiyo kila kitu.
Hii inachekesha sana, Tena mpaka jirani aliyekuazima suti yake anakukumbusha kabisa kuwa "suti niliyokuazima ni suti yangu halali kabisa"
Kutokana na ujua ulio nao/ umbumbumbu unafurahi kwenda huku na huko ukiinadi kuwa suti yako ni "the talk of the Town' unasema kuwa suti yako ni "goal machine"
Nataka nione mzamiru,john bocco,Sawadogo,kapama, kibu Denis, na wachezaji wengine wakiimbwa na mashabiki wa Simba kwa vifijo na nderemo nyingi maana hao ndiyo wachezaji wetu tuliowasajiri kwa pesa zetu lakini Jean baleke kaja kwa mkopo kaja kupambana ili apate namba huko alikotolewa baada ya kuonekana kuwa kiwango kimeshuka.
Tukubali tukatae sikuzote nguo yakuazima haistili mwili, mwenye nayo akiichukua unabaki na midabwada yako kutoka karume, hii midabwada lazima ujivunie nayo na ulinge nayo maana ni vya kwako.
Wewe kijana nakupenda sana.APRIL 16,2023
FT: Simba SC 4 : 1 Young African
Subiri Jini Balekhe awabikiri kwenye mwiko, Jumapili ndio mtaenda simulia babu zenu akina Mpili kama huko nyuma panasitirika au la baada ya kuchomolewa mwikoKipindi anaingia medii kagere unadhani huyo mnayemsifu Kama mungu kafikia hata robo
Na iweAPRIL 16,2023
FT: Simba SC 4 : 1 Young African
Labda nne za kuchongaAPRIL 16,2023
FT: Simba SC 4 : 1 Young African
Kwa kuwa aliwabikiri nyinyi ndiyo m adhani Kila mtu atafungwa na huyo mviziaji.Subiri Jini Balekhe awabikiri kwenye mwiko, Jumapili ndio mtaenda simulia babu zenu akina Mpili kama huko nyuma panasitirika au la baada ya kuchomolewa mwiko
Jini Balehe lazima litie mtu
Unafosi KILA MTU awe mpumbavu km ww.Kumekua na makelele ya fijo pamoja na ndelemo za kuimba nakumsifu Jean baleke, Kama hufatilii mpira unaweza kudhani baleke kafunga magoli miambili la hasha Bali kaonyesha uwezo kidogo hata robo ya meddi kagere enzi zake hajafika kiwango Cha mwamba mk 14.
Babu yangu mzee NGWENA /WAHENGA walisema "nguo ya kuazima haistili mwili " nakubali kabisa huu msemo bila pingamizi.
Unaacha kusifu midabwada yako uliyoinunua karume/ mtumbani sagula sagula/ nguo za mafungu kwa buku jero unapata midabwada ya kutosha takiribani kumi kwa buku jero.
Inakuaje badala yakusifu mitumba yako ya Bei Chee unakuja kusifu suti ya kuazima kwa jirani Tena unatamba nayo na kudunda/unachekelea kwa madaha nakujiona wewe ndiyo kila kitu.
Hii inachekesha sana, Tena mpaka jirani aliyekuazima suti yake anakukumbusha kabisa kuwa "suti niliyokuazima ni suti yangu halali kabisa"
Kutokana na ujua ulio nao/ umbumbumbu unafurahi kwenda huku na huko ukiinadi kuwa suti yako ni "the talk of the Town' unasema kuwa suti yako ni "goal machine"
Nataka nione mzamiru,john bocco,Sawadogo,kapama, kibu Denis, na wachezaji wengine wakiimbwa na mashabiki wa Simba kwa vifijo na nderemo nyingi maana hao ndiyo wachezaji wetu tuliowasajiri kwa pesa zetu lakini Jean baleke kaja kwa mkopo kaja kupambana ili apate namba huko alikotolewa baada ya kuonekana kuwa kiwango kimeshuka.
Tukubali tukatae sikuzote nguo yakuazima haistili mwili, mwenye nayo akiichukua unabaki na midabwada yako kutoka karume, hii midabwada lazima ujivunie nayo na ulinge nayo maana ni vya kwako.
Punguza umbumbumbu/ makasiriko yako ukijaa upepo ndiyo unazidi kuwa juha umeandika pumba tupu nenda kapepete basiUnafosi KILA MTU awe mpumbavu km ww.
Baleke akiingia uwanjani anaingia kuchezea timu gani Labda.
Tuwekee mkataba wa Baleke ili tuamini we ni great thinker. Na unaandika vitu , habari zilizotafitiwa kwa kina, vitu genuine.
Ukishindwa ww Ni popoma square.
Ila hili Jukwaa limevamiwa sana
Leta taarifa genuine siyo unashiba mataptap inakuja kuandika humu.Punguza umbumbumbu/ makasiriko yako ukijaa upepo ndiyo unazidi kuwa juha umeandika pumba tupu nenda kapepete basi