NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
-
- #81
Afande wa zenji katika ubora wako, mtu mwenye evidence huwa hatishii hata siku moja kwa hiyo unachokifanya ni upopoma tu Waheed [emoji41]Leta taarifa genuine siyo unashiba mataptap inakuja kuandika humu.
Tuweke mkataba hapa, uliousoma ukajiridhisha Ni nguo ya kuazima.
Pili utuambie yuko pale Simba Kufanya Nini.
Great thinkers wanajua mbumbumbu Ni Nani Kati yako na mm. Wanajua!
Kuna wakati Ni Raha kubishana kidogo na mpumbavu! Kidogo TU!
Zuzu karibu, mwaga hoja. Km huna sepa kimyakimya!
Nshakudharau kitambo mbona!Afande wa zenji katika ubora wako, mtu mwenye evidence huwa hatishii hata siku moja kwa hiyo unachokifanya ni upopoma tu Waheed [emoji41]
Unajua maana ya hoja wew?? Kama ungejua maana ya hoja ungekuja za hoja zako juu ili kuprove kuwa nilichokizungumza ni dhahiri ni uongoNshakudharau kitambo mbona!
Sibishani Mara 2 na myu ambae NAJUA Hana hoja. Ili iweje!
Ushafika Zenji, una ushahidi wa kutosha kuhusu afande wa Zenji.
Inaweza kutuambia huyo afande alifanyaje!
Km huna hoja sepa kimyakimya!
Siko hapa kukufundisha Niko hapa kuthibitisha wewe mwenyewe ulichoandika.Unajua maana ya hoja wew?? Kama ungejua maana ya hoja ungekuja za hoja zako juu ili kuprove kuwa nilichokizungumza ni dhahiri ni uongo
Ushakunywa ulanzi unakuja kurusha maneno Kama unaimba taarabu.
Nimekuja kukushukuruWewe kijana nakupenda sana.
Nakushauri usiende uwanjani siku hiyo wala kibanda uzima, bora baki homu fuatilia mtanange ukiwa nyumbani.
Utakuja kunishukuru.