Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini unaipenda hiyo black babe wakati wewe rangi yangu pendwaaa😂😂😂😂 me napenda black babe
Kwann sasa??Nguo nyekundu Hapana wala chupi ya pink na red
Sipendi si Aibu ata ikivuliwa jaman😍😄Kwann sasa??
Ngoja ntakuonesha nguo ya black inavonipendeza babeKwanini unaipenda hiyo black babe wakati wewe rangi yangu pendwaaa
Naomba nikushonee 😜
😃😃Nguo nyekundu Hapana wala chupi ya pink na red
May be 🤔🤔Sema inakosha ikiwa na brown mkolezo😄
Nina hamu niionee darling😋🤣🤣😘Ngoja ntakuonesha nguo ya black inavonipendeza babe
Ntakununuliaaa rangi hizo sasa nyingiiiii🤣🤣🤣😉🤗🤔Sipendi si Aibu ata ikivuliwa jaman😍😄
We trauko nini !🤔 nani alokwambia Wagogo tunavaa njano !mimi siwezi kuvaa nguo ya njano rangi ya njano hapana naona kama ni rangi ya wagogo hii 🤗 weww kwako ni ipi
wagogo ni watani zangu
mbn umepaniki mkuuWe trauko nini !🤔 nani alokwambia Wagogo tunavaa njano !
Jishikilie ebu
Labda 🤔🤔uko vizuri boss 👏
ilikuwa bahati yako tuWengi naona mnachukia rangi ya Njano sijui ni kwa sababu ya Eliud Samuel?
That's my favorite color mjue 😄 🤣 ila sio ya eliud imekoza sana
Miaka kama 45 iliyopita nilivaa suruali nyeusi mshono wa MC Hammer na shati la miraba black and white nikatupia na jacket hafifu ya njano na kiatu cha njano
Hamuezi amini niliopoa mzungu kwa vazi tu ♥️
Raha ya hizi trouz, muhusikaa awe mrefu, slim thick.Mimi nimejengeka kimazoezi, Kwahyo napendelea, Trousers zinibane bane kidogo !!
Hiyo imeenda mpaka kwenye Tro zangu za suit.View attachment 3111515
Huo ni mfano, sio mimi!!