Nguo ya rangi gani ambayo huwezi vaaa?

Nguo ya rangi gani ambayo huwezi vaaa?

Wengi naona mnachukia rangi ya Njano sijui ni kwa sababu ya Eliud Samuel?
That's my favorite color mjue 😄 🤣 ila sio ya eliud imekoza sana
Miaka kama 45 iliyopita nilivaa suruali nyeusi mshono wa MC Hammer na shati la miraba black and white nikatupia na jacket hafifu ya njano na kiatu cha njano
Hamuezi amini niliopoa mzungu kwa vazi tu ♥️
 
ilikuwa bahati yako tu
 
Back
Top Bottom